Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...