naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Jinsi gani naweza update iPhone 8G iwe na IOS 16?

    Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update. Nachotaka kujua, Process ya updating inatumia GB ngapi? Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public? Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la...
  2. Wapi naweza kupata kioo Original cha Samsung A10

    Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
  3. Wapi naweza kupata deni la taifa hadi kufikia leo?

    Wakuu naomba msaada katika hilo.
  4. Naweza Kurudia Mtihani wa IV?

    Mimi ni kijana Mtanzania Nimemaliza Elimu ya Kidato Cha nne mwaka 2008 ila sikuridhika na matokeo kwani nilipata Division IV, Sasa nimesoma Level za Cheti na Diploma lakini natamani Kurudia Mtihani huu. Naomba Ushauri Kwa yeyote anayejua procedures na nifanye kitu gani niweze kufuzu ukizingatia...
  5. Wapi naweza kupata Amonia ya maji jijini Mwanza?

    Heshima kwenu wakuu. Napenda kuuliza, kwa hapa mwanza ni katika maeneo gani na katika maduka ya aina gani (category) naweza kupata ammonia ya maji? Na je bei yake ni kiasi gani? Asanteni sana
  6. M

    Kifaa hiki naweza pata wapi

  7. Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  8. Program gani ambayo naweza kutumia nikiandika swahili iniletee English kwa ufasaha zaidi ukiacha translator

    Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English. Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu
  9. Duka gani Dar naweza pata foldable table and chair kama hivi?

    Nahitaji sana foldable chair and table kama hivyo hapo kwenye picha viwe vya watu 4 na zaid. Nimetafuta kwenyw maduka ya furniture bila mafanikio
  10. Naweza kufanya mitihani ya board kwa cheti cha diploma?

    Ni matumaini yangu wote wazima humu ndani. Nimesoma diploma ya procurement and logistic management ila baada ya kuingia bachelor degree nikabadilisha course na kusoma business management, naenda miaka 6 sasa hivi bila ajira, naona nilikosea kubadilisha course. Naomba kujua kama ninaweza kufanya...
  11. Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Utangulizi: Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa...
  12. Ukiacha kwenye cinema wapi naweza kuangalia muvi ya avatar?

    Kwa sasa nipo bush na sina uhakika wa kurudi town hivi karibuni Je kuna yakuniwezesha kuangalia muvi hii?
  13. Kwa bajeti Hii Naweza pata gari gani mtumba show room

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo . Au nicheki kwa 0713 039 875
  14. CHAPMAN CIGARETTE Naitafuta hii kitu naweza ipata wapi?

    Naitaka hii popote ilipo Tz
  15. T

    Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA! Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
  16. Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

    Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41? Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu. Naanza kuona kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia. Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi kuna possibility ya...
  17. Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Habari wakuu, Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata...
  18. Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  19. Msaada: Naweza kupata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo ya kwangu?

    Wakuu habarini, Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu. Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa...
  20. Naweza kufungua Bank Account nikiwa nje ya Tanzania

    Naishi nje ya Nchi.....! Inawezekana kufungua Online Account kwa Bank zetu za Tanzania....! NB. Najua humu kuna Wafanyakazi wa Bank, ama member wenye Uzoefu na mambo Banking. Asante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…