Salaam,Shalom!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada nyingi anazoandika Mtoto wa Mwalimu, Ndugu Andrew Nyerere. Kuelewa anachokiandika au kukisema, unahitaji akili ya ziada kutafuta Maarifa ya kufungua codes za kauli na maandishi yake.
Ndugu Andrew Nyerere, aliitumia Siku yake ya kuadhimisha Kuzaliwa...