Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili.
Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...