Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana mitaa ya Chaga byte, kupiga ugali mkubwa na samaki, mpaka mitungi ya kupotezea wakati, ukitaka fegi...