Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita.

Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information, hivyo wanajifunza na kutekeleza haraka sana.

kizazi hiki kitafanya makubwa zaidi tofauti na millenials wengi tuliojengwa kwa uoga na kutojiamini, tuliamini zaidi mafanikio katika kuajiriwa, ilikuwa kawaida kumkuta mtu kamaliza chuo miaka 10 yupo mtaani bado anaendelea kusaka ajira, lakini kizazi hiki kipo tofauti, wana muamko mkubwa sana wa kupenda kujiajiri kuzidi kuajiriwa

Sikuhizi imekuwa kawaida kuwakuta vijana wengi hata hawajafika 30 wana magari, wamejenga, wana assets, n.k. hapo zamani haya mambo yalikuwa adimu
 
144EC53B-98C2-4DD8-9D0A-0C4B5BA4148B.jpeg

Hawachekeshi..
 
Kuna wimbo mmoja wa katoliki unaimba hivi;

Ndugu yangu kaza mwendo, Safari bado ni ndefu, ina mabonde mengi pia na milima, ina wanyama wengi tena wa kutisha, usi legelege kaza mwendo utafikaaa.
 
Kuna wimbo mmoja wa katoliki unaimba hivi;

Ndugu yangu kaza mwendo, Safari bado ni ndefu, ina mabonde mengi pia na milima, ina wanyama wengi tena wa kutisha, usi legelege kaza mwendo utafikaaa.
Nimeimba sana nyimbo hizo tena nilikuwa kwaya masta 😂, lengu langu lilikuwa kutega mademu na si kuutafuta uso wa bwana.
 
Back
Top Bottom