Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.
Wengine hatuvai buti tufanyeje mkuu? Gen ukipambana nao surely watakuacha stendi ukisubiria boti. Sio siri hichi kizaz pekee ambacho kinaweza kukuambia jiwe kwa kingereza sio stone na akakupa sababu tena zenye mashko na kibaya zaid ukute wewe hujui japo ka english kadogo aki utawabeba. Hao watu hata videm unakanyandua yako yote mwisho wa siku anatoka nje kuchana misamba ni kama aliktwa anajina na ukucha tu. Na kuhusu magari watushukuru hilo sibishi maana hata ka miaka mitano kanajua kuindosha kabisa (za kwene simu)
 
😅😅 kademu kanatokaje kana chana msamba
We lengo lako kafe?
 
Back
Top Bottom