ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mm n Gen z, sina pesa na nahitaji ajira nitakufa njaa Hapa getto 😭Gen-Z lazima wapate hela, wengi hawana mentality ya kuajiriwa. 😊
Mm n Gen z, sina pesa na nahitaji ajira nitakufa njaa Hapa getto 😭
Unaweka bei gani🤣Wewe hupungui miaka 30! Ukiwa chink ya hapo naweka dau/zawadi ya bure. 😊
cc: Mshana Jr
Usilie lie bhna wote ma Jobless na hatutii huruma tunakaza💪Mm n Gen z, sina pesa na nahitaji ajira nitakufa njaa Hapa getto 😭
Unaweka bei gani🤣
Sikai geto kwa kupenda kwamba nasubir ajira, bc tuu mambo hayasomi navyotamani iweMbaga badirika, utakaa geto maisha yako yote kwa mentality ya ajira. Ukisubiri ajira, utasubiri kama tunavyosubiri Bwana Yesu.
Asante kwa kunipa bandama 😎Usilie lie bhna wote ma Jobless na hatutii huruma tunakaza💪
Ole wako uingie mitini 😁Nitakununulia kinywaji ukipendacho! 😊
Sikai geto kwa kupenda kwamba nasubir ajira, bc tuu mambo hayasomi navyotamani iwe
Safi, kwahy nije wapiPole mkuu! Siku moja njoo tupige stori. Njoo tupige stori, siku ukiwa na muda mzuri.
😁😁😄Asante kwa kunipa bandama 😎
Tongoza ya wasiwasi ndo ipoje hii, baby girls kumbe hua mnatuchora kiasi hiko 😂
Ole wako uingie mitini 😁
But natamani kujua kwanini unasema nina 30 kuendelea unatumia kigezo gani
Tunaharibu uzi bhnaTongoza ya wasiwasi ndo ipoje hii, baby girls kumbe hua mnatuchora kiasi hiko 😂
Ngoja niselfike hapa hapa then nafuta chap sasa uwe macho 😃Mimi sio mtu kuingia mitini! Kigezo ni kwamba; kama umezaliwa Y2K maana yake sasa hivi una miaka 25, sasa wewe kwa mwandiko wako tuu! Haupo age hiyo, utakuwa late 20's au early 30's.
Sasa ukisema hvy huu uzi utakuwa na comment page moja, hvy lazima wawepo wa kujaza comments then point ya mada tutaijumlisha humo humo ndanTunaharibu uzi bhna
Nami nimo 😎Ngoja niselfike hapa hapa then nafuta chap sasa uwe macho 😃