nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Wachezaji na wasanii toka DRC rudini nyumbani mkaikomboe nchi yenu

    Yaani jamaa wako stejini wananengua,wengine wako viwanjani wanacheza tu mpira,hizo nguvu mgezitumia vitani M23 wangeshasalimu amri Mwaka 1978 nilijitoleakumfurusha iddi amini kule uganda nikiwa na miaka 18 tu,nilijitolea kamamgambo tukapewa mafunzo ya ukuruta mimi na wenzangu. Huko Ukraini pia...
  2. Yani mwanamke ukirudi nyumbani anajaribu kukuchunguza kwa kila aina ya sense aliyonayo bila wewe kujijua

    Women are smart, yooo. Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
  3. F

    Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

    Source: VOA Radio. Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali. Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23. Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania...
  4. Viongozi wa Nchi za Niordicc wakifanya mkutano nyumbani kwa kiongozi wa Udanish jana 26.01.25

  5. Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  6. R

    Waafrika walipelekwa utumwani Kwa nguvu, wanarudishwa tena nyumbani Kwa nguvu, Huu ni Mpango wa Mungu.

    Hellow Afrika!! Afrika na wanae wanapitishwa tena katika moto Ili kuwasaidia kurudi kuijenga Africa Yao tena, Ni kama tu tai, akitaka kumfunza kifaranga chake kuruka, huondoa nyasi Ili miiba Imchome aruke na kuanza safari ya kujitegemea. Wazungu wanatoka ulaya kuja kufanya KILIMO na kufungua...
  7. I

    Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

    https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
  8. Serikali: January 27,28 watumishi wafanyie kazi nyumbani

    Kufuatia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 hapa nchini, Serikali imeelekeza watumishi wa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam wafanyie kazi nyumbani isipokuwa watumishi ambao mazingira ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya...
  9. P

    Serikali tangazeni tar 27 na 28 kuwa siku za mapumziko kwa wote na wanafunzi wakae nyumbani kuondoa kabisa huo 'usumbufu' mnaosema

    Wakuu, Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini? Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo ni holiday ya moja kwa moja. Akifunga vitu ijumaa atakuja kuendelea jtatu pale alipoishia. Lengo la...
  10. S

    CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika. Lakini pale ambapo...
  11. Vilio vya bundi nyumbani siku 3 mfululizo vinaashiria nini?

    Ni siku 3 sasa, wakuu kunani hapa nini maana yake? naona kama sio kawaida.
  12. M

    Majukumu ya nyumbani sio kikwazo tena kwa Wanawake kugombea uongozi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia mikataba mbali mbali ya Kikanda na Kimataifa ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya Wanawake, kama mkataba wa Cedaw ambao umeanzishwa mwaka 1987 na kuheshimu haki za Wanawake kama Haki za Binaadamu. Licha ya kuwa Katiba ya nchi inatambua haki za raia...
  13. Wazazi wengi hawana Home Curriculum ( Mtaala wa Nyumbani)

    1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha . 2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani wazazi huwaona watoto Kero Wawapo nyumbani jambo ambalo ni upumbavu WA Hali ya juu sana... Ndio...
  14. Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  15. Majaribio Nyumbani kwa Zakayo

    Baada ya mzee mageti kufanikisha uwekezaji kwenye Teknolojia aliamua kuingia mikoani na kuingia katika uwekezaji wa vyakula, Afya, tiba pamoja na njacho. Ndipo akakutana na mzee zakayo na kukubaliana zoezi la vitambulisho liwe la kidijitali wanakijiji wasiwe wanabeba makaratasi . Pia aka...
  16. M

    Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

    Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
  17. Jana nilibahatika kusindikizwa na police mpaka nyumbani baada ya kuzidiwa na kilevi.

    Jana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia niitieni police wanisindikize nyumbani,bahati nzuri kuna gari la doria la police likapita...
  18. Si kila mtu ni wa kumkaribisha nyumbani kwako

    Epuka kukaribisha kila mtu nyumban kwako au kwenye makazi yako wengi wao huwa na roho chafu. Umkaribishapo katika makazi yako bila kuijua roho yake. Vile anavyo maisha yako na jinsi uishivyo hawapendi na hupelekea kuacha roho chafu hizo katika nyumba yako. Unaweza mkaribisha mtu katika nyumba...
  19. Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

    Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu yupo kijijin kwa bibi yake huko kitambo sasa wife jana akaniambiaa yeye anatoka na shoga yake tumuite...
  20. Kwanini Lissu ambaye anahubiri kwamba mambo ya umma yawe wazi, alikataa kukutana na Abdul hotelini penye watu wengi akachagua nyumbani kwake sirini?

    Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi wake wakuu wa chama walikuwa na taarifa? Inawezekana Lissu, baada ya kukutana na Abdul, aligundua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…