orodha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orodha ya wachezaji wa Yanga walioshuka kiwango 2024

    1 Aziz Ki 2.Dube 3.Mzize 4.... Endelezeni.......
  2. Pre GE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  3. Orodha ya kwanza ya wanufaika HESLB 2024/2025 yatangazwa

    Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2024/2025. Awamu hii ya...
  4. Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

    Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza...
  5. W

    Selena Gomez Aingia Orodha ya Mabilionea

    Mwigizaji na Mwanamuziki, Selena Gomez (32) ameingia katika orodha ya โ€˜Self madeโ€™ Bilionea Septemba 6, 2024 Kulingana na taarifa ya mtandao wa Bloomberg imesema kuwa Selena ana utajiri wa Tsh trilioni 3.5 kupitia kampuni yake ya Rare Beauty aliyoanziaha miaka mitano iliyopita Aidha Selena...
  6. Orodha ya bandari kavu za magari Dar es salaam.

    Kutokana na ufinyu wa eneo la bandari ya Dar es salaam ambayo kwa Sasa lipo chini ya uendeshaji wa DP World imefanya bandari kushirikiana na wadau wa sekta binafsi katika kutoa huduma za kibandari. Unapoagiza gari kutoka nchi za nje unaweza kulipokea bandarini TPA ama bandari yoyote kavu kati...
  7. Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba.

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  8. G

    Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  9. Orodha ya baadhi ya miaka ambayo imekuwa ya maafa zaidi duniani.

    541: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama Justinian's plague huko maeneo ya mediterranean. Watu zaidi ya milioni 15 walifariki dunia. 1348: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama bubonic plague huko ulaya watu milioni 25 walifariki. 1520: Kulitokea janga la smallpox maeneo ya Marekani...
  10. Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji. Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu. Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo. 1. Lindi 2. Shinyanga 3. Tabora 3. Singida 5. Kigoma 6. Songea 7. Musoma 8. Bukoba Manispaa...
  11. U

    Naomba orodha ya majina ya Mitume na Manabii ambao waliuawa na Mayahudi kama inavyoekezwa kwenye maandiko

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao. Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi wanadaiwa kuwaua? Je nini madhumuni ya mashambulizi haya ya mara kwa mara dhidi ya Wayahudi...
  12. U

    Orodha kamili ya wachezaji wa kigeni wa Klabu ya Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Orodha kamili ya wachezaji wakigeni wa Yanga Wachezaji wa kigeni katika klabu ya Yanga msimu 2024/2025 โ—‰ Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ โ—‰ Yao Attohoula Kouassi ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ—‰ Chadrack Issaka Boka ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ โ—‰ Khalid Aucho ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ โ—‰ Maxi Mpia Nzengeli ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ โ—‰ Duke Deuces Abuya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช โ—‰ Pacome Peodoh Zouzoua ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ...
  13. O

    Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

    Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated...
  14. Orodha ya Idara, Taasisi na Wizara za Serikali ya Tanzania

    Orodha ya Taasisi Wizara, Idara na Wakala [ 326 ] Taasisi [ 36 ] Mifuko [ 14 ] Mfuko wa Pensheni [ 0 ] Wizara [ 26 ] Idara Zinazojitegemea [ 42 ] Mfuko wa Barabara [ 0 ] Mamlaka [ 56 ] Wakala [ 35 ] Bodi [ 40 ] Mabaraza [ 23 ] Tume [ 24 ] Kampuni [ 9 ] Mashirika ya Umma [ 21 ] Namba...
  15. U

    Orodha ya Mafundisho ya Wakatoliki ambayo awali Wasabato waliona hayafai, sasa wameyakubali kwa nguvu kubwa!

    Wadau hamjamboni nyote? Uzi maalumu wenye orodha ya mafundisho ambayo Wasabato hapo awali hawakuyakubali ila sasa wameyapokea kwa moyo mmoja Wakatoliki wanamwabudu Mungu Mmoja na wa Pekee, aliyeko katika nafsi tatu za kimungu zilizo sawa, za milele, na za upatano: Mungu Baba, Mungu Mwana...
  16. Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

    Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje ni gari tupu ============= Ahmed Arajiga: Ameshinda tuzo ya Mwamuzi bora wa kiume Esther Chabruma...
  17. U

    Ushahidi wa orodha ya matukio aliyotabiri Nabii wa Wasabato Hellen G White ambayo kamwe hayakutokea

    Wadau hamjamboni nyote? Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa. Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu. Kama yupo mtu miongoni mwenu...
  18. Orodha ya Barabara mbovu za Tanroads na ambazo hazina Lami na ziko kwenye uchumi mkubwa wa Nchi

    1. Kitunda (Tabora) - Rungwa - Kambi Katoto - Lupa tingatinga - Makongorosi (Chunya) 2. Rungwa - Kintanula - Itigi (Singida). 3. Mererani - Orkesmet - Kiteto (Manyara). 4. Geita - kwenda Kahama 5. Tarime kwenda Serengeti kupitia Mugumu. Cha kushangaza, serikali kwa miaka 60 ya uhuru, ina...
  19. Orodha ya vyuo vikuu visafi Tanzania, nini maoni yako?

    1. University of Dar es Salaam 2. Sokoine University 3. Nelson Mandela African Institute 4. Mbeya university 5. Catholic university of Health 6. Mwenge Catholic University 7. Moshi Cooperative university 8. Mzumbe university 9. Kilimanjaro Christian college 10. University of Arusha Kwa ambao...
  20. Orodha ya Dawa zilizoongezwa katika Kitita cha Mafao cha NHIF

    Kufuatia mapitio yaliyofanywa na Wizara ya Afya kwenye Orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (NEMLIT) kwa kujumuisha muunganiko, muundo na nguvu kwa dawa 178, NHIF imejumuisha dawa hizo kwenye Kitita chake cha Mafao cha Mwaka 2023. Hatua hii inaongeza wigo wa aina za dawa zenye muundo, nguvu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ