Yule paka usiku huu alikuwa pembeni ya barabara pale karibu na Ubalozi wa Oman, Mikocheni.
Nimekwenda nikamwona, a kitten, a scraggy kitten, nikafikiria kumchukua niende nae nyumbani.
Yule paka aliponiona akastuka akakimbia kuelekea barabarani anataka kuvuka barabara, jambo ambalo...