pesa

  1. JamiiForums Tanzania Njia za kuwezesha kupokea pesa globally nje ya binance na skrill

    Kama inavyojieleza hapo juu, naombeni msaada wa mawazo yenu wakuu
  2. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  3. JamiiForums Tanzania Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

    Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu. IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa sipendi kumpa mtu pesa

    Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada muda akatuma sms "Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

    Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji. Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbunge Felista Njau atuzwa Pesa Bungeni baada ya kuchangia Bajeti ya Mambo ya Ndani

    Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2025/26.
  8. JamiiForums Tanzania Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  9. JamiiForums Tanzania Haya pesa ya bure hiyo

    Huko kwenye betting napata odds ngapi? Nimeona kwa jicho la tatu matokeo ya kesho
  10. W

    JamiiForums Tanzania Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

    Asie na Pesa nyingi lakini kwenye 6 x 6 ni full package Au Mwenye pesa nyingi ila shughuli hawezi
  11. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa pesa kwa mwanaume

    Mwanaume anakuwa mzuri akiwa na pesa. Mwanaume anapendwa akiwa na thamani. Mwanaume anaogopwa anapokuwa na mamlaka na ushawishi. Mamlaka, thamani na ushawishi yanaleta mafanikio ya kipeasa, kwahiyo mtu mwenye mamlaka, mtu mwenye thamani na ushawishi, mtu huyo ana pesa, na huyu ndio mtu ambaye...
  12. JamiiForums Tanzania nimerudishiwa pesa yangu na DSTV, je naweza itoa kama cash?

    wiki 3 zilizopita nilinunua kifurushi dstv lakini decoder ilikua mbovu Leo nikaomba kunihamishia mwamala wangu na wamenipa, sasa nauliza je, naweza itoa kama fedha kesh? au inatolewa vip? asanteni. Nb kwa sasa nilinunua decoda mpya nilisha lipia ko wamehamishia katika hii decoda mpya
  13. JamiiForums Tanzania Walala wa pesa

    Jaman tuambiane mnafanyeje kuongeza kipato kwenye ishu ya miamala....maana sa hivi kila mteja anamiliki Lipa namba.
  14. JamiiForums Tanzania Ipi ni bidhaa yenye thamani zaidi: PESA au MUDA?

    Pesa ina kupa security na guarantee ya kuvuka mipaka mingi sana. Muda unakupa nafasi na fursa zaidi na zaidi. KARIBUNI.
  15. JamiiForums Tanzania Maburungutu ya pesa waliyopewa waandishi wa habari pale Oysterbay yamewachochea kuandika habari za CHADEMA

    Ni wazi waandishi wa habari hivi sasa hawaandiki habari wanazozipata kutoka upande wa uongozi wa CHADEMA ikiwemo mikutano ya No Reform No Election, wao habari kuu pekee wanayoiandika, ni kuhusu wanaohama Chadema kumfurahisha aliyewamwagia maburungutu ya pesa.
  16. JamiiForums Tanzania Nguvu ya kinga mvuto wa pesa

    Hii picha ya sigil Tayari ina: Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi). Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio). Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na pentagram). Unachotakiwa kufanya sasa: 1. Ichapishe au ichore kwenye karatasi ya kawaida nyeupe. 2...
  17. JamiiForums Tanzania Pesa ya nchi inatumbuliwa kisawa sawa kupitia ukarabati wa viwanja vya mpira

    Siku hizi mpaka hapa kuna watu wanakula pesa wakiona nyuzi inagusa wahusika wanafuta.tusijichoshe.
  18. JamiiForums Tanzania VIDEO: Katika mila za Kalabari, bi harusi hatacheka wala kutabasamu hadi atakaporidhika na kiasi cha pesa anachomwagiwa wakati wa ndoa ya kitamaduni

  19. JamiiForums Tanzania Private school uchwara na vyombo vya usafiri au ni kukosa pesa

    Hizi shule zikisha weka magari mawili tu nao wanajiona shule ni private school wakati ni kayumba pro max. Watoto mnawarundika kwenye basi utazani ZIP file kwenye computer. Yani ukisema watoke kwenye gari moja ni sawa na madarasa manne ya wanafunzi.
  20. JamiiForums Tanzania Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…