Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja.
Nina account Instagram ila hata kuifungua naona kazi, miezi miwili sasa sijaigusa kabisa, miaka 5 au 4 sijapost chochote. Siko interested na Instagram, X, TikTok ndo kabisa sijawahi hata kuwa na app yao.
Mimi naipenda Facebook na jamii forums tu. Facebook nikaamua niitumie kuniongezea kipato, Sasa nimeanza kupata matokeo a.k.a maokoto.
Usiboost kwa kununua wala free boost havisaidii chochote.
Wewe angalia pale sehemu ya notifications ukiona pako bussy post content yako.
Ukiona pako slow au pamepoa usipost. Unapoteza resource tu.
Na ikikosa kupokelewa dk 2 za mwanzo content yako inakuwa tayari mfu.
Elimu hii nimeitoa bure. Sihitaji pesa ya mtu humu ndani msije kusema kuwa hili ni tangazo.
Achana na wale matapeli wanaosema simu yako itakuingizia pesa kila siku then wanakuambia uende inbox au wakuunge kwenye magroup yao. Mara utoe pesa. Yaani wewe huna pesa umpe mwenye mbinu za kuingiza pesa. Why asiingize yeye hizo pesa?
Tafuta comedy mtandaoni ziedit upost mwenyewe upate pesa, au tafuta maudhui unayoyapenda post, au post maudhui yako mwenyewe.