pombe haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Vita mpya dhidi ya Pombe haramu, yaanzisha Sekretarieti ya kudumu kuratibu operesheni

    Serikali ya Kenya imetangaza hatua kali zaidi dhidi ya biashara ya pombe haramu, ikitaja tatizo hilo kuwa miongoni mwa vitisho vikubwa kwa mustakabali wa nchi. Naibu Rais Professor Kithure Kindiki amesema Serikali imeanzisha sekretarieti ya kudumu Harambee House Annex ili kuratibu operesheni za...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanker ya Mafuta yageuka isri ya Pombe haramu - Lita 10,000 za Ethanol zanaswa Kiambu

    Polisi wamenasa tanker iliyokuwa ikisafirisha takribani lita 10,000 za ethanol inayoshukiwa kuwa ya viwandani katika eneo la Lari, kaunti ya Kiambu, kwenye Barabara Kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru. Watu 3 waliokuwa ndani ya tanker hiyo wamekamatwa na wanasaidia uchunguzi. Kilichozua maswali...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machozi ya Kina Mama Makwa: Pombe Haramu Inaacha Familia Zikilia Tena

    Makwa, Gatundu North, Kaunti ya Kiambu, imeingia tena kwenye mjadala wa pombe haramu baada ya mwanaume mmoja kuripotiwa kufariki baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa mbaya. Lakini safari hii, si taarifa ya vifo pekee inayovuta hisia. Ni video ya kina mama wakilia kwa uchungu baada ya taarifa...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiambu Tena! Watu 12 wakamatwa Ruiru huku wasiwasi kuhusu pombe haramu ukiongezeka Kiambu

    Watu 12 wamekamatwa Ruiru, Kaunti ya Kiambu, katika msako wa pamoja wa maafisa wa usalama dhidi ya pombe haramu, bidhaa za pombe zinazodaiwa kuwa bandia na dawa za kulevya. Maafisa walinasa lita 211 za pombe ya kienyeji aina ya muratina, bidhaa mbalimbali za pombe zinazodaiwa kuwa bandia na...
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifo 3 Kimende, Kiambu County: Pombe haramu yaibua maswali kuhusu udhibiti na uwajibikaji

    Watu 3 wamefariki na wengine 2 wako katika hali mbaya baada ya kile kinachosadikiwa ni kunywa pombe haramu huko Kimende, eneo-bunge la Lari, Kaunti ya Kiambu. Kufuatia vifo hivyo, wakazi wa Kimende walifanya maandamano wakitaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya uzalishaji na uuzaji wa pombe...
  6. JamiiForums Tanzania Rwanda wamewafikisha Mahakamani walioruhusu pombe haramu, je Tz tunasubiri nini?

    Ofisi ya Upelelezi wa Rwanda (RIB) imewakamata Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Rwanda (Rwanda FDA), pamoja na watu wengine 17 katika uchunguzi unaohusu uzalishaji na usambazaji wa vileo vinavyodaiwa kutokidhi viwango. Kati ya watu 18 waliokamatwa, 10...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuwait yashikilia watu 67 kwa utengenezaji wa pombe haramu baada ya kusababisha vifo 23

    Mamlaka ya Kuwait imetoa taarifa kushika watu 67, akiwemo raia wa Bangladesh anayesemekana kuongoza mtandao wa uhalifu, kutengeneza na kusambaza vinywaji vya pombe vya kienyeji vilivyosababisha vifo vya watu 23 katika siku za hivi karibuni Taarifa iliyotolewa kwenye Mtandao wa X Agosti 16 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…