CCM imemaliza Mkutano wake Mkuu wa 10 Kwa uchaguzi wa Viongozi wa Chama hicho ngazi ya Taifa.
Naipongeza CCM Kwa kuwa Chama bora Na chenye demokrasia ndani ya Chama sio tu katika Afrika, Bali pia hata ulimwenguni
Ni Chama kinachozidi kujijengea uimara, Na Kwa namna kinavyopendeka (sio tu Kwa...