raisi

  1. Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

    Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine. Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania. Kwa nini Rais wa...
  2. Rais wa Cameroon afanya mabadiliko kwenye Bunge na Wizara ya Ulinzi

    Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi. Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara. Biya...
  3. S

    Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

    Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Kashifa...
  4. Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi. Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe...
  5. Raisi Putin atoa kauli kuhusiana na kifo cha Prigozhin na atoa salamu za rambirambi

    Raisi wa Urusi Vladimir Putin jioni ya jana ametoa salamu za pole kwa familia ya Yevgevy Prigozhin ambae alifariki katika ajali ya ndege ndogo binafsi akiwa na abiria wengine 9. Raisi Putin amesema alimfahamu Prigozhin kwa tangu miaka ya 90 na kwamba kiongozi huyo wa Kundi la askari wa kukodi...
  6. Mamlaka ipi inajukumu la kufuatilia nyendo za Rais wa Tanzania na kumwajibisha.?

    Wataalamu. Mimi siyo mwanasheria. Napenda kujuzwa kwa Tanzania ni mamlaka ipi ina wajibu wa kufuatilia mienendo ya Raisi ili pale anapo kosea aambiwe au kuwajibika? Tumeshasikia huko kwa wenzetu Raisi anaweza kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka. Mfano jacob zuma, Trump etc...
  7. S

    Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

    Raisi Samia, kwa sababu ya mambo fulani yaliyojitokeza hupa JF Forums, niliahidi kutotoa post tena. Lakini kwa ajili yako nimeamua kuvunja mwiko huo. Nimefuatilia kwa makini sana yanayoendelea juu ya suala la DP World, jinsi lilivyoshughulikiwa Bungeni, na sasa kufikia hatua ya tamko la TEC. NI...
  8. Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  9. Utawala wa Kijeshi Niger: Mkituma Jeshi tutamuua Rais Bazoum

    Katika hali ya kutosoma vizuri nyakati na matukio na kwa upande mwengine kutaka kutumiza ajenda za nchi za magharibi, viongozi wa ECOWAS wanaoongozwa na Nigeria wamerudia nia yao ya kutaka kupeleka jeshi nchini Niger ili kumrudisha madarakani raisi Mohammed Bazoum aliyepinduliwa July 26. Kwa...
  10. Raisi Samia Suluhu muige Ibrahim Traore wa Burkina Fasso

    Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia. Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU)...
  11. Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  12. Je, Afrika yenye utajiri mwingi inakuwaje bara maskini zaidi duniani?

    Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso. Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu. Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso...
  13. A

    Four takeaways from Trump's indictment for 2020 election interference

    Four takeaways from Trump's indictment for 2020 election interference The special counsel investigating Donald Trump's efforts to overturn the 2020 election results has issued four charges against the US former president. The 45-page indictment alleges Mr Trump orchestrated a broad conspiracy...
  14. Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  15. Ruto rais wa Kenya anafanya sawa kabisa, anajua amejifunza!

    Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi...
  16. Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  17. Rais Samia ni dereva mzuri, hebu muangalie hapa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hebu angalia jinsi anavyo control gia, jinsi anavyocheza na sterling ya gari, jinsi anavyoongeza speed bila kuyumbisha gari. Miluzi inapigwa na wapuuzi fulani kutoka siti ya nyuma, siti za pembeni kulia na kushoto, raisi anawasikia, lakini anatambua madhara makubwa...
  18. Hongera Rais Samia kwa kuweka msawazo wa Madaraja kwa wafanyakazi nchini

    Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa.... Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021! Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017...
  19. Rais Samia bado yupo kwenye njia sahihi

    Bila kupepesa macho, huyu mama ni visionary leader, anajua anachofanya. Ukifuatilia deliverables zake you will be shocked. Facts and data zinaonesha amefanya mambo mengi kwa muda mfupi, pengine kuliko mtangulizi wake. Hakika, she is composed and focused. Anatuonesha kwa vitendo namna sahihi ya...
  20. Erdogan anaongoza kwa kuwa Rais Ndumilakuwili duniani

    Mimi naiheshimu sana nchi ya Uturuki ambako nimekaa kidogo na kuwa ni taifa lenye historia muhimu kwetu waislamu.Zaidi ya hivyo ni nchi yenye kujali sana kuwaendeleza watu wake.Hata ukisikia uchumi umeyumba usidhani ni kama kuyumba kwa uchumi wa nchi zetu za kiafrika. Ukisikia hivyo basi ukiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…