Bila discussion wakuu,
Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.
Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika...