Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu?
Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea!
Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya.
Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...