China imetoa takwimu mpya za kitaifa za spishi za viumbeanuai, ijulikanayo kama Katalogi ya Orodha ya Mwaka 2022 ya Viumbe hai vya China.
Kwa mujibu wa Taasisi ya Sayansi ya China (CAS), orodha ya mwaka huu imeongeza spishi 10,343 ikilinganishwa na ya mwaka jana, na kufanya jumla ya spishi kuwa...