Wakuu Kwema?
Kuna Takwimu zimetolewa na TFF zikionyesha mambo mbalimbali yaliyotokea msimu ulioisha ikiwemo Timu iliyoingiza mapato mengi, Uwanja Ulioingiza Mashabiki Wengi, Timu yenye Mashabiki Wengi, etc.
Binafsi naweza nisiamini sana juu ya Mapato Kwa kila Uwanja au Mapato Kwa Kila Timu...