Habari ya usiku wakuu.
Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho.
🔥Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc.
🔥Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na kuendelea.
🔥 Iwe katika hali safi kabisa isiyo na tatizo lolote
🔥ISIWE rangi nyeupe.
🔥Iwe na nyaraka...