tumbaku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hussein Bashe ataacha lini kuwahadaa watanzania kwa ruzuku ya tumbaku?

    Wana bodies, Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku . Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
  2. DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  3. Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  4. Mei 31: Siku ya Kimataifa ya kuzuia Matumizi ya Tumbaku

    Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Matumizi ya Tumbaku huadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Mei. Siku hii ina lengo la kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kiafya, kijamii, na kiuchumi yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku.
  5. M

    SoC04 Athari za kiafya na kiuchumi zitokanazo na bidhaa zitakanazo na zao la tumbaku ni nyingi kuliko faida za uzalishaji; tunahitaji sera mpya kwenye hili

    Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
  6. Nani mmiliki wa kiwanda kipya cha Tumbaku ndani ya eneo la wazi Morogoro?

    Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale! Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana na daraja la reli na pembeni yake unakuta shughuli za ujenzi wa kiwanda kipya cha Tumbaku. Eneo hili...
  7. Nini mbadala wa Nishati ya kuni katika kilimo cha tumbaku?

    Habari ndugu wana JamiiForums, nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusiana na jitihada za sekta yetu ya Nishati katika kuibua njia mbalimbali ambazo zimekuwa na tija katika utunzaji wa mazingira kama vile Makaa ya mawe, Gesi asilia n.k. Njia hizi zimeleta mapinduzi katika kuinua Tanzania ya...
  8. Mbunge Cherehani Aishauri Serikali - Punguzeni Kodi Zinazowabana Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI AISHAURI SERIKALI IPUNGUZE KODI ZINAZOWABANA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kuendelea kupunguza kodi zinazowabana wanunuzi wa tumbaku nchini ili wakulima wa zao hilo waendelee kupata faida kubwa. Mheshimiwa Cherehani...
  9. Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
  10. Serikali Iondoe Makato ya Miti Kilimo cha Tumbaku

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde. "Wakulima wa...
  11. Je, nini kinasababisha Wakulima wa Tumbaku kutofanikiwa katika maisha?

    Nipo mkoa wa Tabora kwa kipindi cha takriban miaka 10 sasa. Nimebaini wananchi wanalima sana zao la Tumbaku kila mwaka na wanalipwa vizuri tu lakini ukiangalia mambo ya maendeleo kwa wakulima husika siyaoni zaidi ya kusubiria miradi ya Serikali kupata huduma kama afya, elimu na maji vilevile na...
  12. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wanunuzi wa tumbaku ambao hawajawalipa wakulima wachukuliwe hatua

    WANUNUZI WA TUMBAKU AMBAO HAWAJAWALIPA WAKULIMA WACHUKULIWE HATUA - MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote ambao wamechukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha zao wachukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kufikishwa mahakamani kwani Serikali inataka kuona wakulima...
  13. Watu milioni 8 wanafariki kila mwaka kutokana na matumizi ya Tumbaku

    Utafiti wa Shirikisha la Afya Duniani (WHO) umebaini utumiaji wa bidhaa za Tumbaku hausababishi magonjwa ya kuambuliza lakini asilimia 50 ya watumiaji wake wanafariki. Kwa mwaka watu zaidi ya milioni 8 hufariki kwa sababu ya matumizi ya tumbaku, vifo milioni 7 ya vifo hivyo hutokana na matumizi...
  14. Mei 31: Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku (World No Tobacco Day)

    Matumizi ya Tumbaku yanatajwa kuwa miongoni mwa matishio makubwa ya Afya ya Umma. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tumbaku huua takriban nusu ya Watu wanaoitumia Inakadiriwa kuwa, zaidi ya Watu Milioni 8 hufariki dunia kila Mwaka. Vifo vipatavyo Milioni 7 kati ya hivyo ni Matokeo ya...
  15. Ukaguzi wa madaraja ya tumbaku

    Habari za asubuhi wakulima wenzangu wa tumbaku. Mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya mazao yatokanayo na tumbaku Mkoa Tabora na Mpanda. Kwa Sasa tupo kwenye msimu wa soko la tumbaku Kama ratiba ilivyo. Kuna tatizo Sana kipindi hiki Cha upangaji wa madaraja kwakuwa Rushwa imetamalaki kwa...
  16. Rais Samia: Kiwanda cha tumbaku Morogoro kitafufuliwa mwaka 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna mwekezaji amejitokeza ili kukifufua kiwanda cha tumbaku kilichopo Morogoro ambapo amesema kufufua kiwanda hicho kutakuza uhitaji wa soko la tumbaku na kuwataka wakulima wa tumbaku kuendelea na kilimo hicho. Ameyasema hayo mkoani Tabora akizindua Barabara ya...
  17. Watu milioni 1.7 kila mwaka hufa kutokana na matumizi ya bidhaa za tumbaku

    Matumizi ya tumbaku na bidhaa za tumbaku unazidi kuwa mwiba wa Dunia. Tafiti zinaonesha magonjwa mengi yasiyo ya kuambukiza yanasababishwa na matumizi ya bidha za tumbaku.
  18. J

    Waziri Bashe, ukijikita kwenye zao la Tumbaku na kusahau Mahindi na Mpunga mwakani utatumbuliwa

    Jana kupitia ITV habari tumeshuhudia viwavi jeshi vimeteketeza hekari zaidi ya 4500 za mpunga na mahindi huko Kilombero na wakulima wale wamedai hawana madawa kabisa. Najua mkuu wa wilaya katoa lita 50 za dawa ya kuua wadudu na RC katoa lita 40 jumla lita 90 kwa hekari 4500 Nakushauri Waziri...
  19. T

    Naomba kujuzwa mishahara ya Bodi ya Tumbaku Tabora kwa nafasi ya Mhasibu mwenye degree

    Kwa anayejua mishahara ya bodi ya tumbaku Tabora kwa nafasi ya mhasibu mwenye degree na afisa tehama tafadhali naomba kujuzwa
  20. Saratani ni tishio, bado bei ya tumbaku ni kubwa kuliko pamba, chai na katani

    Wizara ya Afya imetaja matumizi ya tumbaku kama moja ya sababu ya watu kupata saratani. Hata hivyo bei ya zao la tumbaku ni kubwa kuliko mazao mengine ya biashara katika soko la dunia Kwa takwimu za kuanzaia Januari 2015 hadi Septemba 2021, wastani wa bei ya tumbaku ni Dola 4.7 kwa Kilogram...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…