ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa CHADEMA Karagwe, Adolf Mukono, Wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi

    Mgombea Ubunge wa Chadema Karagwe, Adolf Mukono, wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi “Tumewakamata baada ya kupata malalamiko kutoka upande wa CCM wakidai kwamba Chadema hawana ratiba ya kufanya kampeni zozote katani Chanika. Tulipomwuliza Msimamizi wa...
  2. Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti wa CHADEMA Catherine Ruge alalamika kudhalilishwa na Polisi

    Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti kwa tiketi ya CHADEMA, Bi. Catherine Ruge amelalamika kudhalilishwa n polisi ikiwamo kupigwa mabomu, kuchaniwa nguo na kushikwa baadhi ya sehemu za mwili. CATHERINE ATOA UFAFANUZI WA MADAI YA KUNYANYASWA NA POLISI Akitoa...
  3. Aibu: Mpinzani wa Trump kudhani anagombea ubunge

    Sio mara ya kwanza, sio kituko tena bali ni tatizo kubwa. Ni dhahiri kabisa kitu pekee alichobeba ni mdomo tu huku akili ikiwa imelala Hali take ya afya ni dgahiri kabisa hata miujiza ikitokea akashinda basi raisi atakuwa ni yule mwenye rimoti. Kutumikia kwake serikali kwa muda wa miaka 47 ni...
  4. S

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

    Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana. Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo
  5. S

    Uchaguzi 2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

    Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter: Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
  6. F

    Uchaguzi 2020 Mrema (TLP), Mbatia (NCCR), Kimei (CCM) na Kiwelu (CHADEMA) wafanya kampeni za ubunge Vunjo (K'Njaro) kuwa zenye ushindani mkali kuwahi kutokea

    Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama. Kinyang'anyiro hiki ambacho...
  7. Uchaguzi 2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

    Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha CCM =======
  8. J

    Uchaguzi 2020 Natamani katika haya majimbo 11 ya Ubunge uchaguzi uwe Huru na wa Haki ili nipime nguvu ya upinzani Tanzania!

    Ni majimbo yafuatayo: 1. Kawe 2. Mikumi 3. Iringa mjini 4. Mbeya mjini 5. Tunduma 6. Hai 7. Karatu 8. Bunda 9. Tarime mjini 10. Tarime vijijini 11. Arusha mjini Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa. Maendeleo...
  9. J

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke, Kilave Dorothy George aweka hadharani vipaumbele vyake akipewa ridhaa ya Ubunge

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Kilave Dorothy George ameendelea na kampeni za kunadi sera zake pamoja na Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika kampeni hizo mgombe huyo ameweka wazi vipaumbele vyake endapo akipewa ridhaa na Wananchi ifikapo Oktoba 28,2020. ELIMU -Kuimarisha ubora wa...
  10. L

    Vigezo gani huzingatiwa katika kuchagua Wabunge wa Afrika Mashariki?

    Jamani wanaJF ninaomba kuuliza kuhusu Ubunge wa Afrika Mashariki Wanaangalia vigezo gani kuchagua wabunge hawa? Wabunge hawa wana kazi gani haswa katika bunge la EALA? Mishahara na marupu rupu yao yapoje?
  11. Z

    Wagombea Ubunge wa CHADEMA wanapata wakati mgumu kuomba kura

    Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka huu amekuwa akipinga jitihada za serikali kusambaza umeme, maji vijijini na mijini, kuboresha huduma za afya, elimu na ofisi za umma, kuimarisha miundombinu na huduma za usafiri wa majini, anga na nchi kavu. Kutokana na kauli za mgombea huyo wa Urais, wagombea wa...
  12. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
  13. K

    Uchaguzi 2020 Rufaa ya Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Mlimba bado haijatolewa na NEC?

    Huyu Mama Susan Kiwanga amefuatilia sana rufaa yake kule NEC. Je, rufaa yake tayari imetolewa uamuzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi?
  14. Uchaguzi 2020 Lissu aweza kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani

    Wakuu heshima sana, Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima. Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa siku saba, Lissu atatumia nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti Taifa kuwanadi wagombea Ubunge na...
  15. J

    Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

    Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu. Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu. Na wengine wanaweza kumpigia...
  16. Lissu namuona majukwaani, wagombea Ubunge wako wapi?

    Kazi nzuri bw. Lissu, bila kujali maamuzi ya wapiga kura na bila kujali ubora wa sera ambao kwa kweli kila chama kuna udhaifu. Lakini, wako wapi unaowategemea kushika nafasi za ubunge? Sioni wagombea wa CHADEMA katika harakati zao za kampeni! Je, hakuna matumaini ya ushindi au ukubwa wa...
  17. Ubunge unatafutwa kwa hali na mali, Kuna maslahi si kuwa taarishi wa wananchi tu

  18. Uchaguzi 2020 Ramadhani Ighondo, mgombea Ubunge Singida Kaskazini: Nitakuwa mkali kweli kwenye mambo ya maendeleo ya Jimbo letu

    Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika. Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye. Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…