Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Wananchi...
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya maeneo yenye uhitaji wa Kituo cha Afya kiwe kimejengwa ili kurahisisha huduma kwa jamii.
"Kuna...
Tatizo ni kwamba siku zote vyama vya upinzani vimeingia katika uchaguzi mkuu bila kuwa na agenda kuu ambayo inawapa changamoto kubwa CCM. Utakuta upinzani wanakuja na slogan kama ubwawa kwa kila mtu, nitawajaza mapesa nk, sera au ilani nyepesi zisizowafanya wananchi wafikirie kuwapa kura badala...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu hapa nchini, mimi naona ni muhimu kuanzishwe mfumo mpya utakaofanya wanawake wa vyama mbalimbali wapambane kutafuta kura kwa wananchi moja kwa moja kuliko mfumo wa sasa ambapo viti hivyo vinaonekana kama fadhila au hisani za viongozi kwa wanawake kuliko stahili yao...
Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump.
Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
dhidi
donald trump
kamala
kamala harris
maafisa
maafisa usalama
marekani
mkono
mkuu
trump
trump vs kamala
uchaguziuchaguzi marekani 2024
uchaguzimkuu
usalama
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia mpango wa maandamano.
Wanawashikiria kwa sasa wanahojiwa kwa ajili ya hatua za kisheria.
Kamanda...
Wasomi kwa wajinga, vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu.
Nilidhani uchaguzi mkuu ni kipaumbele cha wajinga tu kumbe wasomi ndio zaidi.
Wateule wanapomsifu Rais aliyewateua mwishoni hugusia uchaguzi mkuu.
Wapinzani wataongea yote mwishoni watagusa uchaguzi...
Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu
___________________
1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga!
2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
Mambo vipi wadau?
Kwa jinsi hali ilivyo ya mambo na matukio tunayoendelea kushuhudia hivi katika jamii ni dhahiri kuwa serikali inapaswa kuchukua hatua na tahadhari kubwa kuelekea Uchaguzi wa 2025 la sivyo tunaweza kushuhudia uvunjivu wa amani ambao hatujawahi kuhushuhudia hapo kabla...
afrika
afrika mashariki
chama
katika
mashariki
mechi
mgombea
mgombea urais
mkuu
mpaka
mubashara
mungu
taifa
taifa stars
uchaguziuchaguzimkuu
ujao
urais
wake
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amevitaka Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kujiandaa na chaguzi zinazokuja ikiwemo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu (2024) na Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani (2025) huku akivitaka...
Kuna kila dalili Rais Samia ataendelea kuongoza mpaka 2030 , lakini kuna kila dalili kuna makubaliano wapinzani kuachia kiti cha Urais CCM na kupata baadhi ya majimbo , Tumshauri lipi kati ya haya Tundu lissu katika hali hii ?
1. Agombee ubunge arudi bungeni
2. Aungane na kina Mnyika wafanye...
Ndugu zangu kauli hz zimezoeleka sana tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi na tukiwa kwenye uchaguzi vilevile,je Hv ni kweli mtu anaweza kula pesa ya mtu na asimpe kura?,na je aliyetoa pesa hizo anajua kweli kwamba waliokula fedha zake hawakumchagua, je anaweza kuamini rahisi kiasi hicho.
Mimi...
Nije Moja Kwa moja.kwenye mada:
Falsafa ya 4R ambayo Rais Samia Suluhu Hassan anaiwasilisha kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2024 inapaswa kutazamwa kwa makini.
Katika utafiti wangu, nimegundua kuwa maneno ya Rais Samia yanaweza kutofautiana na yale...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania !
Chama cha mapinduzi ni miongoni mwa vyama vya siasa vilivyopata bahati kubwa sana ya kuwa na tunu ya watu wenye uwezo na weledi mkubwa sana linapokuja suala la uongozi na utawala. hii sio mara ya kwanza kwa jambo hili kuzungumzwa lakini...
Nilikuwa najiuliza kwanini watu wengi husema kuwa kama usipomalizia Kibanda chako au usipojenga Kipindi cha Uchaguzi Mkuu (hasa katika Nchi za Afrika) basi sahau tena kujeng.
Kwani Kipindi hicho Pesa zinakuwa nyingi na za Kumwaga huko Mitaani ila sasa nimeshaelewa walichokuwa wakikimaanisha...
Resilience
Reconciliation
Reform
Rebuild
Ingawa zimeletwa kwa kiingereza, mama alimaanisha kujenga serikali inayojali misingi ya 4Rs inayowakilisha Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Ujenzi Upya, katika kushughulikia masuala ya sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini.
Tunaelekea kwenye...
Kule Kinondoni kulitokea ubishi mkuu wa kutunishiana misuli kati ya Meya kamarada mh.Songoro Mnyonge(diwani kata ya Kinondoni kama sikosei) na aliyekuwa DED wa Kinondoni mh.Sipora Pangani.
Zogo lile lilikuwa kubwa huku kila mtu akitumia ubabe wa "KITI" chake.
Nimekumbushia kisa hiki ili tupate...
Ndugu zangu,
Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini haki yenu coz kwa kukaa kimya mnawapa vichwa hao wanaofanyia dhulma.
Fanyeni mpango kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.