Chawa ni zaidi ya mpambe.
Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani.
Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye kufika pale na aishi yale maisha atatengeneza ukaribu na boss ili kumfurahisha kwa maneno ama vitendo...