uchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi dalili za uchungu kwa mke zinaweza kumhusisha na Mume?

    Nawasalimu ndugu zangu. Natumai ni wazima. Ningependa kuuliza jambo kwani najua humu hawakosekani wajuzi wa mambo. Hivi Uchungu kwa mke anayekaribia kujifungua unaweza kumhusisha na mume? Yaani dalili ambazo anapata mume zipo kwenye kuashiria kwamba na mkewe anakaribia kujifungua?
  2. Naomba Kikosi kijacho cha Taifa Stars kiteuliwe kwa Kuangalia Uzalendo, Uchungu na Upambaji wa Beki Ibrahim Baka

    Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi. Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote...
  3. B

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

    Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa. Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali. Akitoa mfano wa huyu wa...
  4. Pre GE2025 Kumbe Mbowe na CHADEMA yake asipolamba asali anakuwa anajifanya ana uchungu na mali za Watanzania

    Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana. Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres Leo hii amesema ataandamana .Kisa tu hajapewe juisi za ikulu na anadai kuna dhuluma
  5. Yaani naandika kwa uchungu sana kuhusu hawa zuku, najuta hata kulipia kifurushi cha mwezi huu

    Yaani ni kama nimetapeliwa, leo ni siku ya sita naomba kuhamishiwa huduma kwenye jengo jipya ila hayo majibu ninayopewa we acha tu Huku huduma sipati, na huku siku zinakataaa na simu hawapokei na wakipokea hiyo shombo sasa Najuuuutaaa kuwajua zuku
  6. S

    Nimejisikia uchungu sana nyimbo za taifa zilipopigwa wakati mechi kati Kili Stars vs Zanz Heroes inaanza

    Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi. Nimejiuliza kwamba: 1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake? 2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni?? Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
  7. TANZIA Director Nisher afariki dunia

    Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr...
  8. Atheists wameanza kuwa na uchungu na misimamo yao

    Hivi kwanini Hawa atheists wa JF wamekuwa na uchungu sana pindi mtu unapozungumzia uwepo wa Mungu na jambo jengine linalohusiana na Imani? Yaani wanautetea huo u-atheism wao kwamba kama hukuufuata basi Kuna adhabu itakukuta. Mambo yamebadilika sasa yaani wao ndio wanaongea Kwa uchungu kuliko...
  9. Walio na uchungu wa ardhi ya Waarabu wa Palestina, kumbukeni pia DRC watu 6.9m wamefukuzwa kwenye ardhi yao

    Huku tukiendelea kuandamana na kuwa na uchungu wa mnyang'anyano wa aidhi baina Waarabu na Wayahudi, hebu pia tuweni na kauchungu fulani hivi kwa Waafrika wenzetu karibia milioni 7 hapo DRC wamefukuzwa kutoka kwenye ardhi zao...... ============================= The conflict between M23 rebels...
  10. Kasumba ya kuna uchungu wa mzazi kwa mtoto aliyemzaa haina ukweli

    KASUMBA YA KUNA UCHUNGU WA MZAZI KWA MTOTO ALIYEMZAA HAINA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza ikawa Tata. Pengine ikazua mfuragano wa kutoleana hoja. Ni vizuri kila mmoja atoe hoja zake Kwa utulivu kutetea upande wake. Kuna dhana au tuseme Kasumba iliyoenea Duniani...
  11. Kuanzishiwa uchungu wa uzazi

    Mjamzito ataanzishiwa uchungu (Induced labour) ikiwa kutakua na hatari iliyothibitishwa kwa mama au mtoto, au kwa wote wawili. Baadhi ya sababu za kuanzishiwa uchungu ni pamoja na Matatizo ya shinikizo la damu wakati wa ujauzito, kupitiliza siku ya kujingua kati ya wiki 41 na 42, ugonjwa wa...
  12. Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

    Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku 40 kabla ya kufa kwake. Nafsi zetu ipo siku zitalipwa adhabu ya udhalili kwa sababu zilikuwa...
  13. Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poo kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
  14. Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poa kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
  15. Ezekiel Kamwaga: Hata kama tuna uchungu na bandari ndiyo tumfokee Rais?

    Akina Nshala na ushindi wa Pyrrhic Ezekiel Kamwaga Wakili Rugemeleza Nshala. Picha kwa hisani ya Katiba TV Na Ezekiel Kamwaga MARA nyingi huwa nafanya rejea kupitia maandishi ya hayati Profesa Samuel Huntington wa Marekani. Katika kitabu chake cha mwaka 1993, The Third Wave...
  16. Mkataba wa bandari utavunjwa kwa pande mbili kuridhia, tutawahonga kipi waarabu watukubalie kuondoka kwa hiari?

    20.3. The termination of the agreement requires prior consent from both State Parties, and such consent should not be unreasonably withheld. Hapo ni kwamba hata huko mbele tukihitaji bandari yetu basi NI LAZIMA waarabu nao wakubali kwa hiari kuiacha bandari. Mkataba hauwezi kuvunjwa...
  17. Kati ya raia wa kawaida na utawala wa CCM ni kundi gani lina uchungu kwa maslahi ya Taifa?

    Tukirudi nyuma kuna mikataba mingi mibovu serikali ilijikita nayo mwisho wa cku ikaja kuonekana hasara kwa Taifa. Na katika hiyo waliokua wanapiga kelele kupinga mikataba hiyo mibovu kwa minajili italiingiza Taifa kweny hasara ni upinzani baadhi na wananchi wa kawaida kbs, sasa swali langu ni...
  18. Wenye uchungu na nchi hii hatutahama CHADEMA. Mamluki walionunuliwa na Mbowe kwa maridhiano uchwara na CCM watahama ovyo

    Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga. Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye...
  19. R

    Kwamba wabunge walipitisha bajeti ya kulisha Vura USA na Leo wanajifanya Wana uchungu na upotevu wa Fedha za umma? Stupid

    Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede. Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha wanashangaa na kujifanya Wana uchungu.....huu ni uzuzu. Kama walikuwa Wana uchungu wangekataa...
  20. Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…