Habari zenu Wakuu,
Nimekuwa nikiona nyuzi tofauti zikimuongelea Mwanamke kama mtu mwenye uhitaji na mwenye haki ya kutimiziwa kila analotaka kutoka kwa Mwanaume.
Mabandiko ni mengi sana eg. Mwanaume pesa, Mwanaume mashine, Mwanaume kuhonga n.k kiasi kwamba imesababisha wanawake waone wanahaki...