uganda

  1. E

    Uganda chooses Dar port for oil imports

    The Ugandan government and Vitol Bahrain E.C., a Bahrain-based company, have chosen the port of Dar es Salaam to import oil, as part of efforts to promote economic relations between Tanzania and Uganda. The decision was made a few days after Vitol Bahrain E.C. secured a permit from the Uganda...
  2. E

    Uganda sasa kununua mafuta moja kwa moja

    Hawa jamaa twende nao mdogomdogo, kwa maanuzi haya tuimarishe bandari tu hili wese likipita tanzania uchumi umepanda https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/oil-deal-govt-meets-fuel-dealers-today-4417754
  3. Marekani yatangaza kuzifuta Uganda, Afrika ya Kati, Gabon na Niger kwenye Mpango wa Biashara na Afrika (AGOA)

    Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia. Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
  4. SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  5. Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  6. Magaidi wa ADF wenye mlengo wa Islamic State (IS) wachinja watalii Uganda

    Hii yote kisa dini, watu wana imani za kiajabu sana................ A Ugandan national and two foreign tourists were killed in an attack by suspected Islamist rebels from the Allied Democratic Forces (ADF) in a national park, the police said on Tuesday. "We have registered a cowardly terrorist...
  7. Rais Yoweri Museveni akiwa na umri wa miaka 79 na miaka 37 ya Urais wa nchi ya Uganda

    Mwasibota Bazzukulu! Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati huo Bwana Museveni akiwa na umri wa miaka 42, tangu wakati huo amekuwa madarakani kama Rais wa...
  8. Uganda, polisi wakamata mabomu ya magaidi yenye mlengo wa kiislamu yaliyokuwa yamepangwa kulipua makanisa

    Matukio kama haya ndio hufanya mapagan wasioabudu katika Mungu wanatushangaa sisi tunaoabudu maana mtu anakuja kabisa kupanga kuwalipua mabomu wakati mnaabudu ili mfe, huku akijiaminisha anachokifanya ni ibada kabisa kwa 'mungu' wake. ========================== Ugandan police foiled a bomb...
  9. Norway kufunga Ubalozi wake nchini Uganda

    Norway imetangaza kufunga ubalozi wake nchini Uganda mwaka ujao kama sehemu ya mageuzi ya kina katika huduma zake za kigeni. Taarifa iliyotolewa na ubalozi huo siku ya Ijumaa ilisema kuwa mabadiliko kadhaa yanaendelea katika uwepo wa kidiplomasia wa nchi hiyo nje ya nchi. "Kuzingatia na...
  10. Traffic: Uganda Vs Tanzania

    Hawa ndio Traffic wa Uganda dhidi ya Tanzania. Traffic wapi wanavutia zaidi kwa sare zao? Tanzania
  11. Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini. Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania. Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi...
  12. Wabunge Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi

    Wabunge nchini Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi ili kupunguza viwango vya juu vya mimba. Naibu Spika Thomas Tayebwa aliliita wazo hilo "Ushetani", akisema "Litarasimisha unajisi" wa wasichana. Afisa mkuu wa wizara...
  13. Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

    Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama. Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii. Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
  14. Pamoja Afcon 2027: Tanzania vs Kenya vs Uganda

    Time to put things in their perspective. Ring road in Dodoma U/C https://youtu.be/rU64ZWjGhUo?si=Jpaj_cip-MYwSz_C
  15. M

    Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

    Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
  16. I

    Tajiri Uganda ajitangazia msiba ili kupima marafiki wa kweli

    Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo. Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi. Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam. Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa awadanganye watu kuwa amefariki ili awajue marafiki wa kweli. Alimpa simu mke mdogo awapigie simu...
  17. Media za Kenya na Uganda zinaelezea Fursa za EAC Pamoja AFCON FINALS 2027 za Tanzania zinahoji kwanini jina la Kenya limetangulia!

    Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally. Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji...
  18. K

    Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

    Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba. Kwa kawaida utaratibu...
  19. T

    AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

    Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. ===== Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
  20. Uganda: Polisi wapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya Bobi Wine kwa madai ya kumtukana Rais Museveni

    Jeshi la Polisi nchini Uganda limepiga marufuku mikutano ya kisiasa ya kiongozi wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, kutokana na ukiukaji wa utaratibu na kumchafua Rais Yoweri Museveni. Polisi nchini humo wamesema mtu mmoja amefariki na wengine 10 kujeruhiwa vibaya katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…