HOMA YA MGUNDA NI NINI?
Ni Ugonjwa ambao huambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Homa ya Mgunda 'Leptospirosis' husababishwa na Bakteria aina ya 'Leptospira interrogans'
Dalili za HomaYaMgunda ni pamoja na Homa, Maumivu ya Kichwa na Misuli, Uchovu, Mwili kuwa na rangi ya njano...