Nchi kubwa kubwa kama Marekani, Uingereza na Ufaransa hupigia sana kelele na kuhubiri uzuri wa demokrasia, na hasa wakishinikiza nchi changa zifuate demokrasia.
Lakini watu hao hao hawataki taasisi kubwa zaidi duniani, Umoja wa mataifa iendeshwe kidemokrasia. Nchi hizo pamoja na Russia na China...