Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k.
Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...