Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power.
Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono.
Engine zimekaguliwa na kutestiwa baada ya kufika Zanzibar, Engine...
Habari Ndugu Zangu
Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo.
1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai
2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji)
3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
Aina: Boss
Hali yake: Nzuri sana
Bei: 550,000
Lilipo: Dar es Salaam
Mawasiliano:- 0675341515
NB:
FREEZER HAINA SHIDA YOYOTE NA WALA HAIMJUI FUNDI. NAIUZA KWASABABU SINA Matumizi nayo kwa sasa
Wakuu habari za asubuhi.
Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka.
Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl.
Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
Wakuu habari, nilitaka kuwasahau wana Jf wenzangu.
Nitakua nawapostia katika uzi huu vitu tofauti tofauti used tu na kwa bei sawa na bure.
Najua pia humu kuna vijana wenzangu wanaoanza maisha, kuna watu ambao uchumi wao haujakaa vizuri hivyo wangehitaji vitu kwa bei ya chini, pia kuna wale...
Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafuta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. Labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au?
USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa.
Naomba msaada vitu vya kukagua kwenye gari kujua kama nzima au nabambikwa, pia kama imewahi pata ajali au la...
This is how crazy the Climate Cult has become.It wants every person’s carbon dioxide emissions to be regulated to 3 tons per year.A normal person emmits 10 tons of CO2 per year.This effectively means no more breathing for the planet!If you want more you will have to pay for it.
Monday, January...
Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used”
Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Dunia nzima, issues za Afya, Elimu, Maji, Umeme, Gesi, Usafiri na Usafirishaji ni issues zenye maslahi makubwa sana kwa taifa, hivyo leo tunaendelea na ile issue ya mabehewa yetu yaliyowasili hivi...
Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu.
Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator nzuri aina ya Honda aniuzie ili niweze kuendelea kuuza movie Hapa kijijini. Nina Computer 2...
Ndugu wadau kutokana na mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini usikubali biashara zako zisimame tunazo standby power diesel generator kwa affordable price kuanzia Kva 10 na kuendelea.PERKINS, YANMAR, LISTER PETER
Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya
Bajeti: laki saba Saba Kila Moja
Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane.
Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu
Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu
Karibu
Habari ya asbuhi wajumbe.
Ninahitaji Nissan Dualis kaliii nzuri na isiyo na shida. Budget iliyopo ni 12.5M. Kama itakuwa moja kwa moja toka kwa mwenye gari itakuwa vema zaidi lakini hata kama itapitia kwa dalali basi awe wazi kujitambulisha kama dalali.
Kama unayo tafadhali nicheki ili tuje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.