Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M.
Gari ambazo nazifikiria ni
1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000
2.Toyota passo cc 1300 au cc 1000
3.Nissan march cc 1300
4.Toyota vitz cc 1300 au cc 1000
5. Toyota starlet cc 1300
6...
WADAU,
NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
Wakuu
Nina goli ninauza vitu used mfano majembe, nyundo, nyaya za umeme used, swichi used, pasi za mkaa used
Na makorokoro mengine wapendwa nahitaji sapoti yenu ya hali na mali
Nimeyumba kimtaji kidogo pia kama kuna mtu ana bidhaa tajwa hapo juu anaweza niuzia kwa bei nzuri pia, kama...
Naomba kuwapa taarifa kuwa nina Laptop nzuri tu ambazo zimetuka na nauza kwa bei simple kabisa!
Bei yangu simple sana
1. Lenovo T430
Processor: Interl Core i5 @2.60GHz (4 CPUs)
Memory: 6G RAM
Storage: 500 GB HDD
Battery 🔋: 4 Hours
Display size 14 Inch
Second Hand
Tsh 350,000/=
2. Lenovo T440...
Ndugu yangu natafuta camera nzuri Used yenye uwezo wa still picture Kali niingie nayo vijiweni tayari nina mashine ya picture nzuri EPSON L850 Naomba Pia ushauri wa Camera hizo nitashukuru Sana Bei yangu Nina Laki 2.
Kuna jambo moja ambalo watu wengi huwa ni kama wanachukulia poa lakini kiuhalisia lina maana kubwa, jambo hili ni kubadili jina la umiliki wa gari au chombo chochote cha moto
Nazungumza haya kwa kuwa nimeona mambo kibao yakitokea huko mitaani na menginie ni kwa watu wangu wa karibu.
Unakuta...
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba,
Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
bei
camera
cover
dubai
free
from
galaxy
google
google pixel
hot
huawei
infinix
iphone
iphone 11
iphone x
kali
laini
mbili
mtandao
note
note 9
offer
oppo
pro
ram
redmi
samsung
samsung galaxy
sana
sony
spark
tecno
used
Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya.
Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
Wakuu kwema? Mimi kijana wenu mtiifu nimekuja kwenu nikiwa na majanga naomba mnisaidie.
Nilinunua simu mtandaoni kupitia kupatana.com, niliona bei ni nzuri nikamcheki jamaa nikachat nae kwenye hiyo website na akanipa namba.
Nikampigia kwa simu ya kawaida maana namba haikuwa WhatsApp, tukaongea...
Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
Habari wadau.
Kuna wizi wa ajabu sana kwenye magari.
Wanaiba cover ya nyuma ya side mirror tu sababu ni rahisi kuzichomoa. Hawachukui side mirror nzima. Na wanaiba sababu wanajua mwenye gari lazima ukanunue tena hicho ki cover.
Wezi wanaenda kuwauzia wauza spea hivyo vi cover vya wizi na...
Picha: Msemaji wa zamani w Serikali, Kenya Lee Njiru
Aliyekuwa Msemaji wa Serikali wakati wa utawala wa Daniel arap Moi, Lee Njiru amefunguka kuhusu jinsi baadhi ya wafanyikazi wa Ikulu walivyokuwa wakitumia uchawi ili kubaki Ikulu. kujiweka afisini wakati wa uongozi wake kama msemaji rasmi wa...
You can take someone's DNA and design a weapon that can kill him. People are therefore warned not to share health data harphazardly because it can be used to program new bio-weapons to target them.
US Rep.Jason Crow warned that bio-weapons are now being made that use a target's DNA to only...
Habarini wakuu.
Ninahitaji gari kati ya IST, Vitz, Swift na Suzuki Jimmy. Budget yangu ni 5.5. Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.