Sofa used zinauzwa bei Tsh 200,000 kwa zote mbili. Zipo Mbezi kwa Musuguri Dar es salaam. Mazungumzo yapo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia namba 0762890123.
Habarini wadau kama mada inavyojieleza hapo juu. Natafuta chainsaw used.
1.Aina ni HUSGVARNA(272) 2.20 Inches
Kwa mtu aliyetayari naomba tuwasiliane
NB.
Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechoka.
Wadau wa JF naomba nijuzwe kwa ufasaha, kodi ipi ni kubwa, kati ya kuagiza gari mpya kabisa japan, na gari used japan, mfano gari toyota premio ya 2011 na ya premio mpya sio used ni mpya ya 2018.
Kwa wale walioko kwenye soko la kuuza used computers na spare part au accessory zake na wanatafuta soko la kununua vifaa hivi kwa bei poa ya jumla karibuni UAE, soko linajitosheleza kabisa, unachokitaka kwenye hili soko utakipata, model kuanzia 2010 and above.
Kwa maelezo zaidi niletee DM
Habari. Kama unaitaji pikipiki used za aina yoyote na kwa Bei unayoitaka tutakupatia tunapikipiki za aina zote. Tembelea Instagram @saantz_pikipiki_used
Tupigie simu namba 0684998047 tukuhudumie mikoani pia tunatuma
Ni Mwishoni mwa mwaka 2021 Kipindi cha sikukuu Kabla hatujaupokea mwaka Kimario alinipigia simu asubuhi asubuhi akaniambia kuna issue very sensitive anahitaji msaada wangu, Nilijaribu kudadisi issue ni nini akaniambia ni muhimu tuonane kwanza ndio ataniambia.
.
Alisisitiza issue ni sensitive...
Habari.
Kwa yeyote anaeuza au anajua wapi naweza pata oven inayotumia gesi yenye uwezo wa kubeba mikate 90 ile tunayosema gram 500.
Note: iwe used.
Iwe Dar Pwani au Morogoro
Call/Whatsapp 0652494919
Habari wakuu
Nahitaji battery used ya Toshiba satellite ,aliyenayo atume Bei yake na picha (Kwa Dar es salaam tu) WhatsApp +255765696086
Models
PA5024U-1BRS,PA5025-1BRS au PABAS260
Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.