Nahitaji kompyuta mpakato yenye sifa zifuatazo:
Brands: Dell au Hp
Processor: Core i3 2.2Ghz au zaidi
Ram: 4gb au zaidi
Hard drive disc: angalau 500gb
Screen size: 15" au zaidi
Ukiwa kanda ya ziwa kwa maana ya Mwanza, Shinyanga, Geita itakuwa poa zaidi