vidonda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

    Habari ndugu zangu. Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu. Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
  2. M

    Anayesumbuliwa Na vidonda vya tumbo tafuta majani yanaitwa mashona nguo

    Habari za Leo wakuu, Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa yanatoa vimiba vidogo vya rangi nyeusi vyembamba, ambavyo huweza kunasa nguo unapopita karibu nayo...
  3. M

    Dawa ya vidonda kooni

    Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo. Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao. Au hata ya hospitali ni sawa Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
  4. Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  5. Hivi njegere na mbaazi zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    kichwa Cha habari
  6. Je njegere zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    Wadau naombeni ushauri he njegere zinafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo Kwa wanaojua msaada
  7. Mrejesho wanajamvi kuhusu vidonda vya tumbo

    Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital. Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui. Naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha...
  8. M

    KWELI Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kupitia mate au kinyesi

    Leo nimesoma mtandaoni kuwa Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Naomba kujua kama ni kweli maana siku zote mie najua vidonda vya tumbo huvipata mtu kutokana na mtindo wake wa maisha(kutokula) au kwa kutumia baadhi ya dawa ambazo zinaweza...
  9. Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani. Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
  10. Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo nitakutibu ndani ya mwezi mmoja

    Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki moja tu baada ya kutumia hii dawa Mimi nilikuwa muhanga wa hii changamoto...
  11. Vidonda vya tumbo kwenye utumbo mdogo

    Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.
  12. Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa. Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi...
  13. Msaada: Mke wangu ana vidonda ukeni

    Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona nimekuta mashavu yote ya uke yamejaa vidonda hadi kutembea hawezi . NAHISI AMECHEPUKA AKAAMBUKIZWA...
  14. U

    Huu uzushi kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na njaa ulitokea wapi?

    Kwanza Niseme kabisa Mimi sio Daktari, lakini nimeongea na madaktari. Lengo la Uzi huu ni kujaribu kuzungumzia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo ambao Kwa kizungu unaitwa ulcers, nimeamua hasa kujikita kwenye mada hiyo. Kuna uzushi mkubwa Tanzania kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na...
  15. Nasumbuliwa na vidonda kwenye kende

    Jamani naombeni ushauri jinsi ya kuvitibu haraka vidonda kwenye ngozi ya mapumbu. Vimetokana na wakati naoga nilijisugua kwa nguvu kwa dodoki nikachubuka sasa vina wiki 1. Natumia sabuni ya zoazoa. Ahsante.
  16. L

    Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
  17. B

    Vidonda vya tumbo

    Nianze na kuwasalimu wakuu, pia niende moja kwa moja kuwasilisha jambo, wakuu vidonda vya tumbo vinanisumbua mno aliyepona ametumia dawa gani ,,, msaada wenu wakubwa
  18. Miriam Ndayishimie: Nilianza kunuka kutokana na vidonda vya majeraha ya kupigwa na muajiri wangu

    Na Dinna Gahamanyi BBC Swahili Safari ya Miriam Ndayishimie ya kuelekea Saudi Arabia ilikuwa imejaa matumaini ya kuepukana na umasikini aliouacha nyumbani. Ilikuwa ni safari iliyojaa matumaini ya kutafuta riziki na kubadilisha maisha, lakini iligeuka kuwa dhiki na makovu yasiyoweza kufutika...
  19. SI KWELI Maziwa fresh ni tiba sahihi ya tatizo la vidonda vya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi. Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za hospitalini, huku baadhi wakitumia dawa za asili. Pia, maziwa ni miongoni mwa dawa zinazo...
  20. Swali la kujiuliza kwa mtu yeyote mwenye vidonda vya tumbo

    Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu. Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia inatakiwa upone. Kiasili kiumbe huwa anapona pale anapokuwa mazingira ya kupumzika. Resting. Je ndugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…