vifaa

  1. Vifaa vinavyohitajika kuweza kuwa na digital TV channel...

    Wataalam hebu fanyeni msaada... Inahitajika vifaa gani kuweza Ku launch digital TV channel...? Nazungumzia vifaa vya kifundi.... Complete set...
  2. Bilioni Sita Kukamilisha Ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Moshi, Bilioni 44 Vifaa Tiba

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha zaidi ya Bilioni 44 kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa Tiba pamoja na Bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Manispaa Moshi ambapo Hospitali hiyo ikikamilika itakua imegharimu Shilingi Bilioni...
  3. Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

    Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora. Tunahusika na ●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera] ●Electric...
  4. B

    Biashara ya vifaa vya music kama subwoofeers kubwa na ndogo kwa Dar es Salaam imekaaje?

    Naulizia mwenyeji ujuzi wa biashara ya subwoofeer kubwa na ndogo imekaaje kimzunguko wa fedha kwa DSM
  5. Aya wadau wa jamii forum nafanya derivery ya vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo popote ulipo nakufikia kwa bei ya jumla.

    Karibuni mnisupport wadau wenzangu. Mawasiliano 0769 055050 Nipples za kuku na nguruwe.
  6. Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  7. X

    Jinsi Marekani ilivyoizuia China ili Israel ifanikiwe katika shambulizi la vifaa vya mawasiliano (pagers)

    Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa Israeli. Miezi 2 baada ya agizo la mkuu wao yaani April 2024 wakaagiza hizo pagers ndivyo hata BBC na...
  8. Hivi Ndio Sasa Tunaweza Kuvaa Teknolojia: Vifaa vya Wearables Vinavyotawala Dunia

    Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
  9. Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

    Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana. Serikali imewasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti...
  10. Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  11. Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

    Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran. _----------+ Iranian ambassador Mojtaba Amani was reportedly injured in a Hezbollah explosion, according to state-owned...
  12. I

    Hizi ndizo mbinu na silaha mpya za Urusi zinazotarajiwa kuisambaratisha Ukraine

    Katika vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine, Russia imebadilisha na kuboresha mbinu zake za kijeshi ili kuongeza shinikizo kwa Ukraine. Baadhi ya mbinu mpya ambazo Russia inatumia zinajumuisha: 1. Mashambulizi ya Makombora ya Masafa Marefu na Drones, Russia imeongeza matumizi ya...
  13. Nahitaji Makadirio ya Vifaa (BoQ) Kwa Ramani hii (Nitakulipa)

    Habari Wakuu, Kama kichwa Cha Habari kinavojieleza. Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo mgombani (Just Kidding 😀). Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia kutengeneza Makadirio ya vifaa (A Bill of...
  14. Duka Lipi Ntapata Vifaa Vya Washing Machine.

    Habari wadau! Naulizia duka lipi ntapata vifaa vya washing machine kwa Dar. Nashukuru sana.
  15. Kwa mnaohusika na kubomoa magorofa kariakoo naombeni connection ya vifaa jenzi used

    Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa...
  16. J

    Mfumuko wa bei kwa bidha mtaani unatisha, hasa vifaa vya ujenzi

    Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali. Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe...
  17. Dispensary inauzwa, ipo Arusha mjini ..Ina vifaa vyote pamoja na facilities zote zote za huduma za kihospital..

    Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa . Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV 0756294771/0672701329
  18. Nauza vifaa vya laptop tablets na desktop kwa bei ya jumla

    Wakuu naombeni mniungishe WA mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Hata pc moja nakupa bei ya jumla . ADAPTER,KEYBOARD, RAM, VIOO VYA LAPTOP, HDD, HDMI CABLES STAND ZA KISHUA,MOUSE ,PROTECTOR . CHARGER ORIGINAL ZA TABLETS NA SIMU
  19. Nahitaji mshirika wa kufungua naye duka la vifaa vya maabara

    Wakuu Nijuzeni Nahitaji kufungua duka la vifaa vya maabara. Pia nahitaji washirika ambao naweza nikawa nachukua mizigo kwao au nashauriana nao. Kama una picha ya duka pia naweza kuona maana sijawahi yaona kabisa
  20. G

    Vifaa vya mazoezi vinauzwa

    Plates 7.5 kg x 4 5kg x 4 2.5 kg x 4 Barbell 1.5 m Dumbbells bars x 2 Gharama 300k
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…