Habari wadau!
Kuna tabia za ajabu sana siku hizi, watu hawana utu ukifa kwao sherehe.
Mzee alipofariki, rafiki yake wa karibu alipewa jukumu la kwenda kutafuta mahali pa kuchimba kaburi, kwa wasiojua hata maeneo ya kuzikia pale makaburini yana madaraja na bei ni tofauti. Best yake kabisa mshua...