Klabu ya Yanga imeamua kuvunja mkataba na kocha wake mkuu, Manqoba Mngqithi, kufuatia kukosekana kwa mwendelezo wa matokeo mazuri ya timu hiyo.
Aidha, Yanga imevunja pia mkataba na kocha wake wa viungo, Chyna Mokaila.
Kupitia taarifa yake, klabu hiyo imesema mchakato wa kumpata kocha mpya...