wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  2. Tusiruhusu Rais na Viongozi wetu kutishwa na wahuni kwa namna yoyote

    All potential advisers and decision makers kamwe tusiruhusu Rais wetu na viongozi wote kutishwa na wahuni.Tanzania bado ipo stable sana tu.all what is prevailing has been planned! Viongozi wa ngazi zote wajiamini katika kutekeleza malengo ya chama na Serikali. Hakuna muhuni atakayeishinda mama...
  3. M

    Polepole washamjulia kelele zote ni njaa! Wakati wa jukwaa la Katiba akatupwa kwenye Bunge la Katiba, na Wakati wa kelele za "wahuni" katupwa Ubalozi

    Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke. Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba. Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
  4. Baada ya kuwakemea wachungaji, mitume na manabii wa kihuni, sasa zamu yenu Masheikh na Maustadhi wahuni

    Habari! Binafsi Mimi ni Mkristo, charismatic christian, situmbishwi na ninachokiamini kwakuwa nimekithibitisha. Kwasababu ya ukosefu wa ajira, kufukuzwa kazi, uvuvi , tamaa ya pesa na sifa basi watu wengi wamefungua huduma au wameingia kwenye huduma za Kichungaji, kinabii, kitume, kiinjilisti...
  5. Kwanini CCM wameshindwa kumfukuza Humphrey Polepole?

    Wapigaji au tuwaite 'wahuni' kama alivyowabatiza Camarada Polepole ni watu wamejijenga CCM kwa maslahi binafsi. Wako na mtandao ambapo kwao CCM ni kama kampuni ya kujinufuasha kufuatana na mtu anavyokua na hisa nyingi. Tulimsikia yule mwenyekiti wa wazazi mstaafu anayedaiwa kuuza mali za taasi...
  6. Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

    Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae. Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo. Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija. Malawi...
  7. Jihadharini na wahuni wa kundi hili la Kiboko Msheli

    Napenda kuwatahadharisha wadau wote kuwa muwe makini zaidi mkiwa barabarani hasa kwenye foleni jijini Dar kwani kuna kundi la vijana zaidi ya 30 maarufu kama 'KIBOKO MSHELI' wanaovamia magari wakiwa na mapanga,nondo na visu kwa lengo la kupora chochote ulichonacho na halikadhalika wanaua ama...
  8. Jifunze kuishi na watu wa aina zote

    Kuna Story nimeikumbuka ya miaka Saba iliyopita.. Ngoja niihadithie kidogo iwepo hapa kama ukumbusho wa safari yangu mm na huyu Dada ex wangu popote alipo. Anaitwa Teddy, nilikutana naye 2013 kanisani liitwalo KANISA LA YESU TANGA,( GLORY LAND CHURCH TANGA) Siku moja nilishinda naye ofcn...
  9. Profesa Jay: Afya yake imefikia huku…aliendesha kutoka Bukoba, Aliandaa wimbo afanye na Zuchu, kuna Wahuni…

    Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili. Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
  10. Uongozi wa Simba SC umejaa walokole na maustadh, tunahitaji wahuni na watoto wa mjini pale juu vinginevyo ubingwa tutausikia redioni

    Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake. Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena. Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji anayetaka kusajiliwa na mahasimu kibabe, sasa Simba imekuwa ya kuporwa wachezaji airport kweli, bila...
  11. Kamwe tusiaminishane upuuzi wa Wahuni! Nchi inajengwa na sisi

    Inawezekana kabisa washauri na actors mbalimbali ndani ya Serikali kwa sasa ni waamini wa mikopo. They might have good sweeter arguments for now. Lakini wazalendo wa kweli tutabaki na msimamo wetu. Ni upuuzi kutegemea walami kutuneemesha watanzania. Hii ni fallacy. Jingalao atasimama daima...
  12. T

    Rais Samia kuwasifia waliomporomoshea matusi Ndugai, anashuka Kitonga kwa gia namba 5

    Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine. Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha. Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza...
  13. Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

    From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu? Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine...
  14. Watumishi wa Serikali DSM ni lini wataacha kuwa "wahuni"?

    Wote wamepewa fedha sawa kwa darasa moja (Mil 20). Ninavyosikia (Sina uhakika), vifaa vya ujenzi (Nondo, bati, Cement) DSM ni nafuu zaidi kulinganisha na mahali kama Bukombe kutokana na umbali kutoka viwandani. Lakini nikiangalia viwango vya madarasa katika picha hapa chini inaonesha kabisa...
  15. Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

    Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya. Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali. Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi...
  16. Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

    Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa. Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI. Tuungane kukemea wahuni.
  17. Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

    Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT. Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa...
  18. Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  19. Tofauti ya wahuni na wazalendo/wanamapinduzi kuongoza wizara

    Utasikia 'rea kuna utapeli mwingi ukome mara moja. Kazi hazikamiliki vifaa vinaibiwa. Kampuni hizo zisipewe tena kazi' 😂😂. Usanii mtupu akisema hivyo ndio imetoka. Wananchi wanahitaji mawaziri wenye uchungu wanachukua hatua. Kwanza kutolea maelezo kinagaubanga mapungufu na hatua za papo kwa...
  20. Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

    Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM. #ujamaaniimani #kaziinaendelea #kataawahuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…