Wakuu kaka, dada,mama na baba zangu wa jf nipo kwenye Hali mbaya sana ya mateso ya kimawazo. Nahitaji mtu tu japo wakunielewa. Katika umri wangu huu mdogo naona Kila kitu kinaharibika naona Giza mbele yangu. Ndio na mwamini Mungu naamini katika nguvu zake, lAkin wakuu zangu nikikaa nakutazama...