wana ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wana ccm wamelishwa unga wa ndele 2025

    Mkuu wa giningi amefanikiwa katika adhima yake kuu, ya kuelekea malengo makuu. Alikuwa na njaa kwa mda mrefu na hakujua kuwa ipo siku atakuja kula chakula kile kizuri ambacho kila mtu anatamani kula, ghafla bini vuuuu! akakuta chakula kile kizuri Dunia mzima kipo mezani. kina msubili...
  2. Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  3. U

    Pre GE2025 Wasira ametudanganya. Samia Kajiteua mwenyewe akisaidiwa na Kikwete sababu hatujui wana CCM

    Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea. Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu...
  4. Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  5. M

    Wana CCM kataeni UHUNI uliofanyika Dodoma

    Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii. Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama. Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama...
  6. Hii ni ajabu ya Dunia. Wana CCM wenyewe hawajui ni kwa nini chama chao kinaitwa Chama cha Mapinduzi!

    Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM. Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu. Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...
  7. Heri ya Mwaka Mpya kwa Wana CCM wote, kazi iendelee

    Kidumu chama cha mapinduzI Nawatakia hapoye new year Wana CCM wote katika Bwana Mkawe na MWAKA WA furaha na baraka
  8. T

    Je, kwanini wanaomshabikia Mbowe wengi wao ni wana CCM?

    Wakuu habari zenu. Nimefuatilia majukwaa ya kijamii kadhaa wa kadhaa na kuona kua,wengi wanaompigia chapuo Mbowe na kumpamba ni wale ambao tulikua tukisuguana wakati tunaipinga CCM. Kwa wale wataalamu wa mambo ya siasa za Tanzania, naomba wanisaidie kujua kwa nini Mbowe amependwa ghafla hivi na...
  9. Lissu aliwakosea nini wana CCM? Aliwahi kuwatendea nini Kwan?

    Amani kwenu wana jukwaa Toka lissu atangaze kugombea uenyekiti wa chama taifa nimewaona wana CCM wakimsusa na kumsahau kabisa kumpigia makofi na mapambio mwenyekiti wao Samia Badala yake nguvu zote wamezihamishia kumshambulia tundulisu kwa nguvu zao zote Je lissu aliwakosea nini wana CCM...
  10. Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

    Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua. Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm...
  11. F

    Jaji Warioba na Mzee Butiku ndio wana CCM waliobaki

    Huu ndio ukweli mchungu wapendwa watanzania na hasa wale wanaaojiita wana CCM! Kama kuna mwana CCM anataka kujua jinsi ya kuwa mwana CCM wa kweli awatafute Jaji Joseph Sinde Warioba na Mzee Joseph Butiku. Hawa ndio wana CCM kwa maana halisi waliobaki nchi hii! Wengine wote waliobaki ni...
  12. Tuwasikilize na tuwaelewe wana CCM wa kawaida.

    Kwa wale ambao ni wanachama, mashabiki na wapenzi wa CCM ambao sio viongozi katika chama au serikali mnananufaikaje kwa sasa na uwepo wa CCM na mnafikiri mtapoteza nini siku ambayo CCM haitakuwepo madarakani?
  13. L

    Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  14. LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

    Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM. Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu...
  15. Mawakili wanaowakilisha chadema katika kesi nyingi, wanamuwakilisha Mpina katika kesi dhidi ya wana CCM wenzake-ambao ni Bashe na Tulia

    Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina kufukuzwa Bungeni. Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za...
  16. L

    Watanzania Tujitokeze Kulaani na Kukemea Vikali kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais Wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja...
  17. Wana CCM hawa wanakichafua chama

    Nimekuwa nafuatilia mikutano ya vyama mbali mbali vya kisiasa. Kuna siku nikakuta wana CCM wanafanya vikao vyao kwa njia ya aibu sana. Ktk hali ya ulevi na mambo ya hovyo kama mnavyotazama kwenye hiyo clip. Hivi wanatoa mafundisho gani kwenye kizazi kinachoyaona hayo mambo ya hovyo?
  18. R

    Ni jambo jema kuona hata wana CCM wamechangia Lissu apate gari, pia inatufanya tuwafahamu viongozi wenye roho mbaya na chuki

    Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja walifunga na kuomba apone lakini wapo waliotamani asiwepo hai. Ukiwauliza Lisu kuwakosea nini hakuna...
  19. Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazowahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano. Ally Kessy Mbunge wa Nkasi(CCM), amesema Wazanzibar waache kuwanyonya...
  20. R

    Kwanini Tundu Lissu amechagua kumjibu kwa busara na kisoma wakili Fatma Karume na kuwapuuza wana CCM wanaotamani awajibu?

    Tundu Lisu akiwa Dodoma ametoa elimu kubwa sana ya Katiba ya Zanzibar dhidi ya Katiba ya Muungano. Wasomi wengi wamejikuta wakimsikiliza na kwa sasa YouTube majibu clip ya majibu yake ndiyo inaoongoza kutrend katika ukanda wa Afrika Mashariki. Katika majibu yake amempa heshima kubwa Fatma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…