Habarini,
Miaka iliopita channel ten kuna muugizaji mmoja alikuwa akijulikana kama bwana jumbe, nahisi alikuwa pia kwenye matangazo ya foreplan clinic ya dokta mwaka.
Bwana jumbe kiumri ni mtu wa makamo, alikuwa anaigiza kama mwanaume player, kuna scene yake moja alinifurahisha, yani...