wasafi

  1. Diamond na Wasafi Media mmeonesha "lack of professionalism" kwenye hili la Forbes

    Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika. Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes wametoa list ya wasanii tajiri Afrika zaidi ya page zisizo rasmi!!! Naona pia wasafi tv na radio wanali...
  2. Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi Wasafi FM punguzeni 'Kujikomba' kwa Viongozi wa Serikali na wa Chama cha Mapinduzi kwani 'Mnaboa' mno

    Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu. Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
  3. Uanzishaji wa kituo cha Radio

    Habari Wakuu, Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio. Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station...
  4. George Ambangile apewa zawadi ya gari na Wasafi FM

    Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise. Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni...
  5. M

    Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

    Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale. "Kwanini Simba SC...
  6. Z

    Harmonize: Safari yake kwenda International nje ya WCB inavyowatesa Wasafi

    Habari za hasubuhi wanajamii. It's very clear kwamba kwasasa Vita ya muziki Kati ya wasafi na kondegang imepamba Moto. Ukifatlia kwa umakini utagundua wasafi wanapambana kadri wawezavyo kumsusha Kondeboy of which haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki Harmonize anazijua. Anaijua...
  7. Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

    Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa...
  8. CAG: TSh. milioni 140 ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na Mkataba uliosainiwa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa. Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita...
  9. U

    Wimbo Bora ya Maombolezo ya JPM so Far ni Hii ya Rosa Ree, Ya wasafi Sijailewa sana

    Mpaka sasa naona nyimbo zilizotolewa na maomboleza ni nyingi ila hii ya Rosa Ree Kigodo inilize walahi, ya Wasafi sijaelewa sana japo imesheheni wasaniii kibao Unaionaje Mtu wangu, hii hapa chini:
  10. Kuna kila dalili wachambuzi Wasafi FM wamemchoka Maulid Kitenge

    Kumekuwapo na sakata siku mbili hizi kati ya msemaji wa Simba, Haji Manara na mtangazaji wa Wasafi FM, Maulid Kitenge. Hii ni baada ya Kitenge kupost kwenye page zake kwamba kuna ugomvi kati ya Morrison na kocha wake Gomes, na ndio maana Morrison aliachwa Dar safari ya Khartoum, madai ambayo...
  11. J2 mangoma ya kisauzi Wasafi FM

    Hili pindi la mangoma ya kisauzi kila J2 Wasafi FM kwangu ni balaa sana, kiufupi wasauzi wanamabiti mazito na ya maana sana ila sijui why ngoma zao hazivumi. Ukiangalia hata biti za wimbo wa mama amina wa marioo na sho madjozi ni biti za kisauzi, hata huu wa harmonize wa anajikosha katembea na...
  12. M

    Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda, Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo ya uongo? Unaitumia mara kadhaa @wasafifm kuelezea migogoro hewa kuhusu Simba na kutaka kuichafua...
  13. M

    Mtangazaji wa Michezo Wasafi FM Maulid Kitenge, Kuzurura kote Ulaya na Marekani bado tu Kiingereza kinakutesa?

    Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake. Kiingereza chako cha Kumkaribisha Mjerumani Mr. Alvaro kwa Kumwambia ' Welcome Tanzania ' badala ya kusema (Kumwambia) ' Welcome to...
  14. F

    Wimbi la viongozi kwenda Wasafi FM badala ya TBC

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la viongozi wa kiserikali kushiriki mahojiano mbalimbali pale Wasafi FM. Yaani ni kama wanapishana vile, ukiangalia namba ya viongozi hawa hawa kwenda TBC FM ni kama haiko kabisa. Je, huku si kukosa uzalendo?
  15. Huyu DJ wa Wasafi anaharibu kipindi

    Huyu Dj anapiga ngoma kali za dancehall na ragga ila anaboa anaongea muda wote hata kipindi kinakosa ladha kabisa aisee hebu mwambieni mnaomfaham aisee aache mambo ya kizamani apandanishe mangoma kuongea iwe kidogo sana.
  16. Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ

    Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto Rebeka Gyumi wameanza kutuma jumbe za kuwaalika watu muhimu katika na wananchi kwa ujumla kushiriki...
  17. Wasafi TV yapunguziwa adhabu, sasa kutumikia adhabu mpaka 28 Februari, 2021

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imefanya mapitio ya adhabu iliyotoa kwa Wasafi TV baada ya Wasafi kupeleka ombi la kufanya hivyo. Baada ya mapitio TCRA imeakuja na uamuzi wa Wasafi kuendelea kutumikia adhabu hiyo mpaka tarehe 28 Februari 2020. UAMUZI WA TCRA DHIDI YA WASAFI 1. WASAFI TV...
  18. Mkiwasaidia Wasafi TV kwa 'Unafiki' wenu basi upesi sana muwaombe radhi itakayoambatana na 'Fidia' akina Kwanza TV na wengineo mliowafungia nyuma

    Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Innocent Lugha Bashungwa ameeleza kuhusu kufungiwa kwa Vyombo vya Habari na Wasanii na kuzungumzia kuhusu Wasafi Tv. Akiongea katika kipindi cha Clouds Fm Waziri ameeleza haya. “Kama Wizara jukumu letu la kwanza ni kusimamia nidhamu, inapotokea...
  19. M

    Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

    Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…