waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Nchemba Bagamoyo

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ๐Ÿ•ฐ๏ธ 4:00 Asubuhi. ๐Ÿ“† Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  2. H

    JamiiForums Tanzania OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ๐Ÿ“† 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ๐Ÿ“† 14 Oktoba, 2026.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  4. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ๐Ÿ•ฐ๏ธ 4:00 Asubuhi. ๐Ÿ“† Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba Rukwa Kilele cha Mwenge

    Waziri Mkuu Dkt MWIGULU LAMECK NCHEMBA akiwa ameambatana na Mke wake, NEEMA MWIGULU NCHEMBA wakiwa wanawasili katika Kiwanja cha NELSON MANDELA Mkoa wa Rukwa, kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Kilele cha Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Baba wa Taifa, Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Kujenga ustahimilivu dhidi ya maafa ni wajibu wa kila mmoja

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kujenga ustahimilivu dhidi ya maafa ni wajibu wa pamoja unaohitaji ushiriki wa serikali, sekta binafsi na jamii, akisisitiza umuhimu wa maandalizi kuanzia katika ngazi ya kaya. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Oktoba 13, 2026, wakati akitoa tamko la...
  7. JamiiForums Tanzania Bashite ananikumbusha Waziri Mkuu katili wa Ethiopia, Mengistu Haile Mariam

    Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii mengistu haile mariam hakua na akili za...
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maurice Ogeta - Mlinzi Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake na Baba

    Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu azungumza na diaspora Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora). Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwigulu amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuelezea miradi ya maendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki ibada kanisa kuu Anglikana - Uingereza

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada hiyo imeongozwa na Kasisi Paula Hollingsworth. Mara baada ya kuwasili kanisani hapo, Waziri Mkuu alipokelewa na Mshauri wa Askofu...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyemrithi ubunge Keir Starmer, waziri mkuu mstaafu Uingereza.

    Sagal Abdi-Wali
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aongoza kikao uongezaji thamani madini adimu

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu kuendelea kuwekeza katika matumizi ya teknolojia itakayowezesha nchi kuongeza thamani ya madini adimu (critical minerals) badala ya kuyauza katika hali ghafi. Amesema hayo leo (Jumatano, Oktoba 7, 2026) wakati akipokea taarifa ya Utafiti ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ชaziri Mkuu aongoza kikao uongezaji thamani madini adimu

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—”๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ž๐—”๐—ข ๐—จ๐—ข๐—ก๐—š๐—˜๐—ญ๐—”๐—๐—œ ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐— ๐—”๐——๐—œ๐—ก๐—œ ๐—”๐——๐—œ๐— ๐—จ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu kuendelea kuwekeza katika matumizi ya teknolojia itakayowezesha nchi kuongeza thamani ya madini adimu (critical minerals) badala ya kuyauza katika hali ghafi. Amesema hayo leo (Jumatano...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania awasili Uingereza

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri mkuu na wizara ya Ardhi, Upimaji Haramu wa Ardhi wilaya ya serengeti.

    Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kufungua Jukwaa la Uwekezaji Tanzania nchini Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na...
  18. H

    JamiiForums Tanzania ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐— 

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—”๐— ๐—จ ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ž๐—œ๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐—š๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—˜๐—ง๐—ก๐—”๐—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu: Nchi yetu imekuwa ya kipekee kwa Utawala wa Sheria

    Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Nyamuswa, mkoani Mara tarehe 3 Oktoba 2026 wakati akiendelea na ziara yake katika Kanda ya Ziwa, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesisitiza kuwa vitendo vya kujichukulia sheria mkononi vinavunja undugu na kuacha makovu yasiyopona katika jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ