Kwakweli hii ni ardhi ya watu wema sana, vigezo vya uwekezaji kwa wageni ni rafiki sana, kuna muda wa kutosha wa kufanya majaribio ya biashara mpya bila kulipa kodi.
Nawaomba mpunguze mlolongo kipindi cha usajili wa biashara, vinginevyo nawaalika wawekezaji wengine toka uarabuni, uzunguni na...