"Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani.
Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya fumanizi. Sasa alichokifanya siku hiyo akamrudisha house girl wao kijijini, arafu yeye akaenda kulala...