whatsapp

  1. JamiiForums Tanzania Ninawazo la biashara kwa dar es salaam mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp

    Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
  2. JamiiForums Tanzania Kuna vitabu unatafuta? WhatsApp 0737317870.

    Hello Wana_JamiiForums. Kwa sasa tunauza softcopies za vitabu mbalimbali. English & Swahili. Endapo kuna vitabu (Softcopies/ pdf) unahitaji au umetafuta bila mafanikio tafadhali tuma ujumbe WhatsApp 0737317870. Tutarecommend vitabu endapo huna uhakika na maarifa unayohitaji kupata. Tutakuunga...
  3. JamiiForums Tanzania Whatsapp Business account takeovers under investigation

    The Government is investigating reports of WhatsApp Business account takeovers and similar incidents affecting other Meta platforms. ICT Minister Tatenda Mavetera says a coordinated response is underway to address the reported incidents.
  4. JamiiForums Tanzania Government Launches Cybersecurity Probe Into WhatsApp Account Takeovers

    Zimbabweโ€™s Government has launched a coordinated investigation into a surge in reported WhatsApp Business account takeovers, raising concerns about cybersecurity vulnerabilities, financial fraud and the safety of digital communications. The investigation involves the Ministry of Information...
  5. JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA: WhatsApp Cloud API (Access Token, Phone Number ID na App Secret)

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa WhatsApp Cloud API na Meta Developers. Nimejaribu mara nyingi ku-set up WhatsApp Cloud API kwa matumizi yangu binafsi, lakini nimekwama kupata Access Token, Phone Number ID na App Secret kwa sababu Meta ime-restrict account yangu. Niliomba...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

    Ni bora mawasiliano yakawa kwa njia ya call then physical. Lakini kuchat na mpenzi wako whatsapp kunaharibu sana mahusiano. Hiki nimeki observe kwa upande wangu. Kuna wengine ni wazito kutumia hii mitandao , so blue tick na Grey tick hata kwa siku tatu zinaweza kubadili kwa kiasi kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—บ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ

    Mtandao wa Whatsapp kwenye Android inaendelea kujaribu Bottom Navigation Bar mpya ๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ Awamu hii, Whatsapp inafanya mabadiliko ya kuondoa majina ya maandishi chini icons zake na kubaki na icons pekee plain Kuanzia Chats, Updates, Communities na Calls. ๐ŸŽจ Lengo? Kuifanya WhatsApp ionekane...
  8. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿ‘€๐Ÿ”

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. ๐Ÿ” Wazazi wataweza kudhibiti nini? ๐Ÿ‘ค Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza kaamua kuniblock WhatsApp

    Hello members, Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine...
  10. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ

    Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu ๐Ÿ‘‹ WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili โšก๐Ÿ“ฑ Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2ร— speed. Ukiachia, itarudi kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Singing jr huko Whatsapp anatoa vi0ande humohumo akijisikia viands kipande kimoja coins 3

    Huyu jamaa anafeli sana
  12. JamiiForums Tanzania WhatsApp yatumika kuhamisha mamilioni ya euro kwa wahalifu na magaidi

    Mawasiliano ya mtandao wa WhatsApp yalitumika kutuma mamia ya mamilioni ya euro kwa fedha taslimu duniani kote, yakichangia uhalifu uliopangwa na ugaidi bila kumbukumbu ya karatasi, imetolewa na uchunguzi uliofanywa na watangazaji barani Ulaya. Mawasilinao ya kundi la watu 532, lililoitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwenye group za whatsapp na statuses wazanzibari wamefurahi mnooo

    Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi. Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi. Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu Mpya za Udukuzi wa WhatsApp na Jinsi ya Kujilinda (Mwongozo wa 2026)

    Leo ningependa kushiriki nanyi dondoo muhimu sana kuhusu usalama wa akaunti zetu za WhatsApp. Siku hizi, wadukuzi (hackers) hawatumii nguvu nyingi kuvunja mfumo wa ulinzi (encryption) wa WhatsApp, bali wanatumia mbinu za kilaghai (Social Engineering) kuwahadaa watumiaji. Haya ni mambo muhimu...
  15. JamiiForums Tanzania WhatsApp imepata hitilafu kwa sasa

    Jana usiku saa 5 nilikuwa nashindwa kutuma picha, kila nikituma inaniandikia ''Retry'x Je, kuna mtu anayepata ujumbe wa "Retry" anapojaribu kutuma picha kupitia WhatsApp? Watumiaji wengi wameripoti hitilafu hiyo kuanzia jioni, ambapo picha na mafaili yanashindwa kutumwa huku baadhi ya ujumbe...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ma-IT wa kibongo wazindue whatsapp na facebook za kibongo

    Habari zenu wakuu NImefuatilia utendaji wa facebook hasa kwa wajasiriamali na mwinga ukisponsor ads ,hupati traffic na leads za kutosha kama miaka nilipoanza kusponsor mwka 2016 hadi 2020. Pia naona hata whatsapp business wanlimit mnoo idadi ya wateja kuwasiliana nao. unakuta ukifoward wateja...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kurudisha account yangu ya Whatsapp

    Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Ni takribani week 1 sasa. Nimekuwa nikipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea...
  18. JamiiForums Tanzania Narudishaje account yangu baada kuwa banned kwa kutumia Gb Whatsapp?

    Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Nimekuwa nilipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea message hiyo? Japo kuwa tayari...
  19. JamiiForums Tanzania Whatsapp imestopisha huduma ya username nchini India

    Sijajua kuna nini. Hii huduma imeanzishwa juzi tu badala ya kutumia namba ya simu sasa unaweza kutumia username. Kumbukeni India kuna wataalamu wengi swala la IT na scammer wengi wapo India. Au wameanza kutumia username zitakazo tapeli.
  20. JamiiForums Tanzania Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

    Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. ๐Ÿ“ข Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ