wingi

Primnoa wingi is a species of soft coral in the family Primnoidae.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi. Kuna tenda mezani. Zinahitajika: Pumba za Mahindi (Tani 74) Mashudu ya Alizeti (Tani 22) Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
  2. Kwanini watu wanaziuza Nissan Xtrail kwa wingi sana?

    Ni jambo la ajabu sana ila tokea mwaka jana 2024 mwezi wa Disemba nimekuwa nikikutana na matangazo mengi ya watu wakiuza magari yao ila katika matangazo 10 basi kuna matangazo 8 ya mauzo ya gari aina ya Nissan Xtrail. Wapo wanaouza kwa sababu mbalimbali kama uhitaji wa pesa za matibabu, au...
  3. Wanajeshi wa Rwanda wanakufa kwa wingi, Pamoja na Serikali ya Rwanda kukana uwepo wa majeshi yake DRC

    Habari wana bodi. Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda. Pia kinaeleza kua wazazi wa hao wanajeshi hawapewi taarifa za kina juu ya vifo vya watoto wao ila wanaambiwa "they died in a...
  4. TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  5. Makocha Saed Ramovic na Fadlu Davis, walalamikia wingi wa mechi.

    Misimu kadhaa iliyopita kuna wakati aliyekuwa kocha wa Simba Robert Oliveira "Robertinho" na kocha wa Yanga Nasridine Nabi walilalamikia wingi wa mechi na umbali ambao wachezaji husafiri baada ya kucheza mechi na kabla ya mechi inayofuata. Wote wawili walisema umbali na ukaribu wa kati ya...
  6. Mikate imeadimika kabisa huko Kilimanjaro. Sababu wingi wa watu walioenda kusherekea Krismasi na Mwaka mpya

    Hii sasa ni balaa! Mkate umekuwa dili huko Kilimanjaro ================= Kufuatia wingi wa watu waliokuja kusherehekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya mkoani Kilimanjaro, bidhaa aina ya mkate imeadimika katika maduka makubwa (supermarkets) mjini Moshi na kusababisha adha kwa watumiaji wa...
  7. Kwanini Mbuni, Tausi na Kasuku hatufugi Kwa wingi hapa Tanzania?

    Mimi ni mdau wa kilimo na Ufugaji na ninapenda kutoka moyoni kabisa. Katika Hali inayonipa maswali mengi ni hili swala ufugaji wa Ndege kama Tausi Mbuni na Kasuku. Huwa napenda kujifunza bila ukomo hasa kupitia mitandao ya kijamii. Ukiingia mjini YouTube uka search Ufugaji wa Tausi Tanzania...
  8. Sababu za kiroho kwa nini unatakiwa kula mananasi kwa wingi kwenye msimu huu wa Mananasi

    Sababu ni moja tu nayo ni👇👇👇 Kwa sababu huu ni msimu wa Mananasi. Katika ulimwengu wa roho, kunapokuwa na msimu wa kitu fulani, tafsiri yake ni kwamba muda huo ndio muda sahihi wa kufanya kitu hicho. Mifano kupanda mazao msimu wa mvua zinapo anza. Sasa hivi ni msimu wa Mananasi, tafsiri yake...
  9. LGE2024 Ruvuma: Kapinga ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27 kupiga Kura

    Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
  10. Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu" Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
  11. Tukimaliza mjadala wa magorofa tuhamie kwenye vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa wingi karibu na makazi ya watu

    Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
  12. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  13. T

    LGE2024 Vijana Jitokezeni kwa wingi kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM TAIFA, Leodger Leonard Kachebonaho alikuwa Mgeni Rasmi Baraza la UVCCM Wilaya ya Karagwe, Baraza lililofanyika tarehe 10/11/2024. Akizungumza katika Baraza hilo la kikanuni amewataka vijana kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 27 Novemba 2024 kukipigia kura Chama Cha...
  14. LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

    Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM. Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu...
  15. B

    Nahitaji Kidney Beans kwa wingi

    Habari za asubuhi wakuu. Nahitaji Kidney Beans kwa wingi. Mfanyabiashara au mkulima mwenye kidney beans ile kubwa anicheki tufanye biashara. Iwe safi na nene. Kwa kuanzia inahitajika tani 60, ila yakiwa bora basi tunaendelea kufanya biashara kwani tunahitaji zaidi ya tani 200. Naomba ofa...
  16. M

    Ngorongoro wamasai wajitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Rais Samia.

    Wapinzani na wanaharakati walikuwa wakihoji kuwa Rais wetu si msikivu. Hata hivyo, leo Rais Samia amemtuma mwakilishi wake wa ngazi ya juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro. Walimaanisha kwamba Wamasai hawawezi kuzungumza na mtu mwingine zaidi ya Rais, lakini leo...
  17. Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Ukraine anaendelea kumuandama Urusi

    Ukraine imepeleka misaada kwa wananchi wa Russia waliotelekezwa. Hakika Rissia naye kaonja joto la jiwe. Kazi haijawa nyepesi kama alivyodhani. Kuna siku ataamua kubwaga manyanga tu. Putin hana uzoefu na vita ana ubabe wa kwenye media tu sasa vi Ukraine vinamshika sharubu Military aid...
  18. Ndoa za wake wengi ni chaguo la mwanaume na kwa wanawake ni mila na suna ya imani na hulka ya wingi ndani ya nafsi za kike

    Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
  19. Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  20. Wabongo mnaivaa hii jezi kwa wingi, nini siri yake?

    Huwezi ukaenda Kariakoo usikutane na mbongo kavaa jezi hii. Ina siri gani ya kukubalika sana?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…