Wazee wa kileo wamekuwa ni watu wa ovyoo, mioyo yao imejaa husda na wivu kupita kiasi hasa sisi vijana tunaopata mafanikio ya haraka, kijana anaajiriwa ndani ya muda mfupi ana nyumba na gari pamoja na vitega uchumi kibao, nyinyi ni wazee wetu tunawaheshimu sana kwa sababu nyinyi ndio babu zetu...